Bobi Wine naye ni wale wale?

Umeshashtakiwa?
Bora shule zifunguliwe urudi shuleni maana Waziri alisema marufuku watoto wa shule kuwa na simu shuleni. Nasikia mnafungua kesho ee?
 
Ilimtengenezea passport??? Sidhan km alikua Hana passport.
Alikuwa na passport iliyokwisha muda wake. Maafisa wa Wizara ya mambo ya nje ndio wenyewe wamepeleka nyaraka hizo ubalozi wa Ujerumani.
Hii inaonyesha jinsi Lissu alivyo smart kuliko wabaya wake wajinga wanaotumia nguvu kuliko akili.
 
Inaonekana haufuatilii siasa na matukio kwa yale yanayoendelea Uganda ndugu, hilo tukio picha zake zilizagaa mitandaoni.

Mfano watch this clip[emoji116]uone jamaa anavyopata dhoruba.

View attachment 1673335
Anasoma magazeti ya Uhuru,Mzalendo na Tanzanite atajuaje mambo ya dunia zaidi ya propaganda za CCM?
Walidanganywa eti hata tukio la kupigwa risasi Lissu ni maigizo na mavuvuzela yakaamini na kuzungika kutangaza
 
Akili yako haiko sawa
 
Yaani unataka uwe rais wakati familia yako iko ng'ambo? Watakuwa wendawazimu watakao kupa nafasi hiyo!
Mazingira ya kupata urais huku familia ya mgombea upinzani ikiendelea kuishi maisha ya kawaida yaliishia utawala wa JK. Baada ya hapo hatuna tofauti na Uganda au Rwanda.
 
Uongozi no kipaji siyo elimu kubwa kijana
Ingalikuwa ni elimu Basi watanzania tungekuwa tunaishi kwa raha Sana maana tunaongozwa na PhD holder
 
Wasiojua siasa za Uganda wanabwabwaja tu ujinga hapa.
 
Kamanda kaua wingaa mchana kweupee katupa silaha chini

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Anasubir siku ya 'kuapishwa' awatumie presidential jet warudi Uganda? Wapinzani AFRIKA Ni shida kuliko watawala. On jamaa yenu anakula kuku Ulaya, Hana habar hata na Zoom Tena
 
Wewe ni mtu umeenda shule kabisa babako akalipa ada kabisa n akajiridhisha pesa yake haikupotea kabisa. Yani m7 ampe mwanae kuongoza nchi? Uganda hakuna wengine zaidi ya mwanae. Mtu kakaa madarakani toka 1986 leo amwachie mwanae nae apige mpaka 2090 huko au [emoji23][emoji23][emoji23]
Mawili either Rudi shule au kadai ada yako. ni akili za punguani tu anayeweza kufikiria hili.
 
Usidhani bobi wine yuko pale bila sababu maalum. Waganda wamemchoka m7 big time na wengine wamepambana sana kumtoa kupitia box la kura mpaka wamechoka wenyewe. Mmojwapo ni Besigye. Jamaa amepambana sana, ameteswa sana, kaenda jela sana, kapigwa sana, hata kutembea kwenda kazini kwake (katika biashara zake esp zile petrol stations zake kampala) ilikuwa shida hata kwenda kanisani hatakiwi hata kwenda Maana raia wamemchoka m7 wakimuona tu hata kama anajipitia tu njia ktk gari yake cz inajulikana.polisi wamefika wanamzingua. alikosa uhuru wa kufanya hata yake ya kijamii mpaka kaamua kachoka kabisa kaacha siasa.
Pia siasa za uganda kabila kubwa ni wabaganda kutoka central ndo wengi so ni makabila yanapambana wanyankole kutoka western (kabila la m7) wamejaa ktk serikali, jeshi nk bobi wine hayuko pale kama mwehu wengi wamepambana wamechomoa njiani bila kupenda. yeye kajivika mabomu sasa ulitaka familia yake iteketee ili ufurahi au? Kumbuja juzi juzi tu alikoswa koswa na bomu/risasi ambayo ilijeruhi walinzi wake akawa anavaa bullet proof jacket hadi ktk kampeni. majuzi tena mlinzi wake frank kauawa live.kabisa achia mbali wamefungwa wako detained wengine kibao lina Nubian Li etc
kwa taarifa yako bobi yuko nyuma ya watu wengi mpaka ndani ya buganda kingdom yeye kajivika mabomu tu ila kikiwaka kitawaka sana. Anaweza asiwe mtu sahihi sana lakini n mtu hata ukimsikiliza anajua.anachokiongea. na trust me support ataipata kubwa tu toka central. M7 anategemea police n jeshi tu otherwise angekuwa amesharudi kwao huko kuchunga ng'ombe akaachana na ikulu ya nakasero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…