Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Acha bajaj, Leo anakamatwa kama hajatoa mchango wa kujenga choo cha shule...umeshapata bajaj?[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha bajaj, Leo anakamatwa kama hajatoa mchango wa kujenga choo cha shule...umeshapata bajaj?[emoji1787]
Ndio ujue umuhimu wa dikteta kuobdolewa.Ila watoto na wake wa wenzie ndio wanastahili kufa?
Bora shule zifunguliwe urudi shuleni maana Waziri alisema marufuku watoto wa shule kuwa na simu shuleni. Nasikia mnafungua kesho ee?Umeshashtakiwa?
Naibu mstaafu (au mtelekezwa) umeuliza swali la kitoto sana. Au ndizo sababu za kuachwa pamoja na kuwa cheupe?Ni nani atawaokoa watoto wa wafuasi wake?tafakari
Mpuuzi mkubwa weweKwamba Bob Wine ni chumia tumbo kama Tundu Lisu?
Kumfananisha Magu na wine, n dharau kwa MaguMbona Magufuli kaweza urais na mambo yanaenda tu?!
Alikuwa na passport iliyokwisha muda wake. Maafisa wa Wizara ya mambo ya nje ndio wenyewe wamepeleka nyaraka hizo ubalozi wa Ujerumani.Ilimtengenezea passport??? Sidhan km alikua Hana passport.
N kweli lkn sio wineAfrika yeyeto tu anaweza kuwa raisi.
Anasoma magazeti ya Uhuru,Mzalendo na Tanzanite atajuaje mambo ya dunia zaidi ya propaganda za CCM?Inaonekana haufuatilii siasa na matukio kwa yale yanayoendelea Uganda ndugu, hilo tukio picha zake zilizagaa mitandaoni.
Mfano watch this clip[emoji116]uone jamaa anavyopata dhoruba.
View attachment 1673335
Kama ameweza mawe why bob,N kweli lkn sio wine
Akili yako haiko sawaHabari yake haiwezi kumalizwa na check bob aka bob wine! Uganda ina wasomi wakubwa (inaongoza kwenye nchi za EA) wengi wenye uwezo mkubwa wa kuwa marais wa nchi hiyo wakati mwafaka utakapofika - na wakati mwafaka huo ni wakati Mu 7 atakapoachia nafasi hiyo kwa hiari yake au kwa maamuzi ya Muumba wake. Na kipindi hicho wala hakizidi miaka 10. Mu7 kaitoa mbali nchi hiyo na bado anaendelea kuipeleka mbali kimaendeleo; wenye akili wana muheshimu sana na wanakusubiri wakati huo muafaka. Hii micheck bob inapaswa kushughulikiwa.
Mazingira ya kupata urais huku familia ya mgombea upinzani ikiendelea kuishi maisha ya kawaida yaliishia utawala wa JK. Baada ya hapo hatuna tofauti na Uganda au Rwanda.Yaani unataka uwe rais wakati familia yako iko ng'ambo? Watakuwa wendawazimu watakao kupa nafasi hiyo!
Hahahaaaa....... Heri ya mwaka mpya chedi!Mpuuzi mkubwa wewe
Inahusiana sana!Haiusiani mkuu...
Uongozi no kipaji siyo elimu kubwa kijanaHabari yake haiwezi kumalizwa na check bob aka bob wine! Uganda ina wasomi wakubwa (inaongoza kwenye nchi za EA) wengi wenye uwezo mkubwa wa kuwa marais wa nchi hiyo wakati mwafaka utakapofika - na wakati mwafaka huo ni wakati Mu 7 atakapoachia nafasi hiyo kwa hiari yake au kwa maamuzi ya Muumba wake. Na kipindi hicho wala hakizidi miaka 10. Mu7 kaitoa mbali nchi hiyo na bado anaendelea kuipeleka mbali kimaendeleo; wenye akili wana muheshimu sana na wanakusubiri wakati huo muafaka. Hii micheck bob inapaswa kushughulikiwa.
Wasiochumia tumbo ni CCM tu,kidumu.......Kwamba Bob Wine ni chumia tumbo kama Tundu Lisu?
Anasubir siku ya 'kuapishwa' awatumie presidential jet warudi Uganda? Wapinzani AFRIKA Ni shida kuliko watawala. On jamaa yenu anakula kuku Ulaya, Hana habar hata na Zoom TenaKamanda kaua wingaa mchana kweupee katupa silaha chini
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Wewe ni mtu umeenda shule kabisa babako akalipa ada kabisa n akajiridhisha pesa yake haikupotea kabisa. Yani m7 ampe mwanae kuongoza nchi? Uganda hakuna wengine zaidi ya mwanae. Mtu kakaa madarakani toka 1986 leo amwachie mwanae nae apige mpaka 2090 huko au [emoji23][emoji23][emoji23]Nilishauri Bobi wine akagombee urais chama cha wasanii Uganda sio urais Uganda .
km ni urais then mseven ampe kamanda Muhoozi tu kijana wake maana upinzani hawako serious.
Nchi km ile umpe Bobbi wine wakati watu wameisotea battle to battle mpk kuikomboa Big NO.
Siku 2 nyingi jamaa watapindua kila kitu waanze upya.
Museven kumrudisha Muhoozi kuwa MCS pale.
Sio uamuzi wa kijinga,
Muhoozi na Kagame wameenda chuo kimoja US.
Anajua kila kitu anaweza fanya kila kitu
Usidhani bobi wine yuko pale bila sababu maalum. Waganda wamemchoka m7 big time na wengine wamepambana sana kumtoa kupitia box la kura mpaka wamechoka wenyewe. Mmojwapo ni Besigye. Jamaa amepambana sana, ameteswa sana, kaenda jela sana, kapigwa sana, hata kutembea kwenda kazini kwake (katika biashara zake esp zile petrol stations zake kampala) ilikuwa shida hata kwenda kanisani hatakiwi hata kwenda Maana raia wamemchoka m7 wakimuona tu hata kama anajipitia tu njia ktk gari yake cz inajulikana.polisi wamefika wanamzingua. alikosa uhuru wa kufanya hata yake ya kijamii mpaka kaamua kachoka kabisa kaacha siasa.Habari yake haiwezi kumalizwa na check bob aka bob wine! Uganda ina wasomi wakubwa (inaongoza kwenye nchi za EA) wengi wenye uwezo mkubwa wa kuwa marais wa nchi hiyo wakati mwafaka utakapofika - na wakati mwafaka huo ni wakati Mu 7 atakapoachia nafasi hiyo kwa hiari yake au kwa maamuzi ya Muumba wake. Na kipindi hicho wala hakizidi miaka 10. Mu7 kaitoa mbali nchi hiyo na bado anaendelea kuipeleka mbali kimaendeleo; wenye akili wana muheshimu sana na wanakusubiri wakati huo muafaka. Hii micheck bob inapaswa kushughulikiwa.