Bobi Wine naye ni wale wale?

Bobi Wine naye ni wale wale?

Hayo ya kurushiwa bomu (kopo) chumbani kwake kayasema yeye sawa tu na yale aliyosema Tundu Lissu ya kupokea simu kutoka kwa asiyejulikana akimtishia kuondoa uhai wake!
Ndiyo hivyo muache kukurupuka kupost vitu ambavyo hamvijui.
 
Habari yake haiwezi kumalizwa na check bob aka bob wine! Uganda ina wasomi wakubwa (inaongoza kwenye nchi za EA) wengi wenye uwezo mkubwa wa kuwa marais wa nchi hiyo wakati mwafaka utakapofika - na wakati mwafaka huo ni wakati Mu 7 atakapoachia nafasi hiyo kwa hiari yake au kwa maamuzi ya Muumba wake. Na kipindi hicho wala hakizidi miaka 10. Mu7 kaitoa mbali nchi hiyo na bado anaendelea kuipeleka mbali kimaendeleo; wenye akili wana muheshimu sana na wanakusubiri wakati huo muafaka. Hii micheck bob inapaswa kushughulikiwa.
Unamuita check Bob lakini ukweli ni kwamba ana uwezo mkubwa and he is very courageous, hao wenye uwezo mbona hawajitokezi? Maana yake ni waoga kama wewe hapo, ila ukiwa nyuma ya keypads unajifanya warrior wakati mwenzio yuko uwanja wa mapambano.
 
Mawakala hawataruhusiwa kuingia vituoni mpaka wawe na vyeti vinavyoonyesha kuwa hawana virusi vya corona. Hilo ndiyo bao LA mkono tayari.
 
..MUSEVENI naye wakati anautafuta Uraisi wa Uganda miaka ya 80 MKE wake na WATOTO walikuwa wakiishi SWEDEN.

..Kwa nchi za Kiafrika wanasiasa wa upinzani kuhamishia familia zao ughaibuni wakati mwingine ni jambo la lazima.
 
Hayo ya kurushiwa bomu (kopo) chumbani kwake kayasema yeye sawa tu na yale aliyosema Tundu Lissu ya kupokea simu kutoka kwa asiyejulikana akimtishia kuondoa uhai wake!

ivi nyie ni watu gani ? mtu kapigwa risasi nusu kufa asiogope ? alafu watu wa ccm kawashinda tundu lissu kweli kwa hoja mpaka mnamiminia risasi, yan bashiru, pole pole, sijui jiwe yan hamna kabisa hoja zakumshinda zaid yakusema anatumika na mabeberu ? me huwa sina sides ila huwa nashangaa sana , how comes one person anarun show mpaka mnaona hamwez mnaenda kutumia power kubwa
 
..baada ya matokeo ya uchafuzi kutangazwa nilijua Tundu Lissu atafungwa na ndio utakuwa mwisho wake.

..kumbe mwenzetu ana jambo lake alilolifikiria jinsi ya kuepuka kifungo. sidhani kama ndani ya ccm na serikali kuna aliyetegemea Lissu atasalimisha maisha yake ubalozi wa Ujerumani.

..kuepuka mgogoro na aibu ya kidiplomasia serikali ilimtengenezea passport Tundu Lissu na kumuachia aondoke nchini. sijui kesi zaidi ya 6 dhidi ya Tundu Lissu mahakama ya kisutu zimeishia wapi?
 
Admins please toa takataka hii. Kyagulanyi yupo kulitoa dictator. #WeAreRemovingDictator
 
Najua Waganda wamemchoka Babu Mu 7, lakini kuongozwa na Bobi wine nisingewashauri.

Hii kweli, Museveni amechosha tena anakera kishenzi lakini mbadala kwa huyo dogo Bobi hapana, bora waendelee na mateso ya babu M7
 
Hayo ya kurushiwa bomu (kopo) chumbani kwake kayasema yeye sawa tu na yale aliyosema Tundu Lissu ya kupokea simu kutoka kwa asiyejulikana akimtishia kuondoa uhai wake!
Kujiunga na kuwa upande wa uonevu kwa kutumia akili na maandishi ni dhambi ya kijinga kama kumasterbate aka kupiga punyeto
 
Kwamba Bob Wine ni chumia tumbo kama Tundu Lisu?
Shika adabu yako! Huwezi muita Tundu Lissu mchumia tumbo kwani kwa kufanya hivyo unaruhusu hata mgombea mwenzie John Magufuli naye atukanwe kwa majina machafu na utahatarisha usalama wa ntandao wetu huu kuwepo hewani.
Unajuwa mangapi Lissu amewahi kujitoa kwa watu wa nchi hii kabla hamjaamua kumuua kwa risasi?
Lissu amewahi kuiba nini cha taifa hili? 10% gani kesha kula za miradi ya taifa? Nini kafanya umuite mchumia tumbo? Badala ya kumuita jina hilo huyo muongo wenu unawapachika wengine!
 
Back
Top Bottom