IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
Ndiyo hivyo muache kukurupuka kupost vitu ambavyo hamvijui.Hayo ya kurushiwa bomu (kopo) chumbani kwake kayasema yeye sawa tu na yale aliyosema Tundu Lissu ya kupokea simu kutoka kwa asiyejulikana akimtishia kuondoa uhai wake!