Bobi Wine’s first Press conference in USA shakes international Media “I’m coming back home” he says"

Hapa ndipo ilipo shida ya Waafrica, Tatizo limetokea Africa unakwenda kufanyia press wazungu.. Trump huwa anatutukana Waafrica kama watu ambao hatuwezi kuchukua maamuzi. Bobi anatakiwa apambane huko huko Uganda kwa kuwaunganisha waganda dhidi ya MU7.
 
Acha mambo yako dunia leo ni kitu kimoja, hujasikia akisema jeshi la Uganda linapewa fedha na Marekani , hivyo huyu mzungu kasema watakata hiyo misaada.
 
Harakati zakujikomboa zinafanyikia popote.Kama tunapeleka bakuli lakuomba misaada kwa wazungu kuna shida gani tukienda kuomba msaada wa mawazo kwao.Migogoro minhi yakisiana inayotokea afrika kusuluhishwa kwake kunakuana nakukoseana heshima ndo maana watu wenye busara wanaona ni bora kuyapeleka nje ya afrika kwawenye akili angalau zakusikilizana.
 
Bobi kiukweli anamtingisha MU7 sasa, jamaa sio muoga hata kidogo.
 
Hapa ndipo ilipo shida ya Waafrica, Tatizo limetokea Africa unakwenda kufanyia press wazungu.. Trump huwa anatutukana Waafrica kama watu ambao hatuwezi kuchukua maamuzi. Bobi anatakiwa apambane huko huko Uganda kwa kuwaunganisha waganda dhidi ya MU7.
Publicity ya mahovu ya madictetor ni mhimu itangazwe kwa ma donnors hapa kwetu hamna uhuru wa vyombo vya Habari magazeti yetu ni ya udaku waoga kuandika siasa......
 
Hapa ndipo ilipo shida ya Waafrica, Tatizo limetokea Africa unakwenda kufanyia press wazungu.. Trump huwa anatutukana Waafrica kama watu ambao hatuwezi kuchukua maamuzi. Bobi anatakiwa apambane huko huko Uganda kwa kuwaunganisha waganda dhidi ya MU7.
Unaongea kama huzijui serikali za Africa.Kwanza ni ngumu kufanya press conference Kila ukitaka kufanya polisi wanazingira,au ukifanikiwa kufanya ukitoka tu jamaa wanakunyakua.Sasa Kwa vile Vyombo vya habari vipo unafanyia popote pale tu.
 
Acha mambo yako dunia leo ni kitu kimoja, hujasikia akisema jeshi la Uganda linapewa fedha na Marekani , hivyo huyu mzungu kasema watakata hiyo misaada.

Sawa Jeshi la Uganda linapewa silaha na USA, lakini Waganda wenyewe wakiamua hizi silaha si kitu. Bobi apambane kuwaunganisha Waganda walioko Uganda dhidi ya adui wao MU7, waganda wengi wakiwa pamoja vita hii ya kumg'oa MU7 ni rahisi sana hata kesho picha linaishi na MU7 tunamuhifadhi TZ.
 
Viongozi wa kiafrika wana akili za ajabu sana. Wana hofu ya madaraka ya kiwangu cha juu sana. Mnawatesa wananchi wenu hadi wapate utetezi nje ya Afrika? Lini mtabadilika na kuacha ujuha huo??

Wamarekani kwa wema wenu Mungu anawaona. I still remember the era when I was playing around Charles Bridge areas.
 
Acha mambo yako dunia leo ni kitu kimoja, hujasikia akisema jeshi la Uganda linapewa fedha na Marekani , hivyo huyu mzungu kasema watakata hiyo misaada.
Mambo ya Museveni ni aibu kwa Afrika.
Aibu kwa Tanzania sababu tulimsaidia kuingia madarakani hata kama sio moja kwa moja.

Bobi anajisumbua kwenda kupiga kelele kwa wamarekani, hao jamaa wanamhitaji awe raisi.
 
Hapa ndipo ilipo shida ya Waafrica, Tatizo limetokea Africa unakwenda kufanyia press wazungu.. Trump huwa anatutukana Waafrica kama watu ambao hatuwezi kuchukua maamuzi. Bobi anatakiwa apambane huko huko Uganda kwa kuwaunganisha waganda dhidi ya MU7.
Well said
Ni sawa na kondoo kwenda kwa chui kuomba msaada!
Hivi hawa oni Syria, Libya, palestina, Yemen na kwingineko wadhungu wanavyo wauwa watu kama nzi?
Ndio maana Mwenye Enzi Mungu anawalaani na kuwauwa wapinzani wa Africa kila iitwapo leo walahi!
That’s all
 
Sawa Jeshi la Uganda linapewa silaha na USA, lakini Waganda wenyewe wakiamua hizi silaha si kitu. Bobi apambane kuwaunganisha Waganda walioko Uganda dhidi ya adui wao MU7, waganda wengi wakiwa pamoja vita hii ya kumg'oa MU7 ni rahisi sana hata kesho picha linaishi na MU7 tunamuhifadhi TZ.
Kuomba msaada ni jambo la kawaida sanaa, hata Mandela alipokuwa anapinga ubaguzi wa rangi huko afrika ya kusini alikuja kuomba msaada Tanzania.
 
Mambo ya Musevini ni aibu kwa Afrika.
Aibu kwa Tanzania sababu tulimsaidia kuingia madarakani hata kama sio moja kwa moja.

Bobi anajisumbua kwenda kupiga kelele kwa wamarekani, hao jamaa wanamhitaji awe raisi.
Rais wa China na German nao pia ni aibu?
Fikiria Africa tungekuwa na malkia kama ulaya ingekuwa je?
Tusiwe wanafiki katika maamuzi walahi!
 
Well said
Ni sawa na kondoo kwenda kwa chui kuomba msaada!
Hivi hawa oni Syria, Libya, palestina, Yemen na kwingineko wadhungu wanavyo wauwa watu kama nzi?
Ndio maana Mwenye Enzi Mungu anawalaani na kuwauwa wapinzani wa Africa kila iitwapo leo walahi!
That’s all
Mbona hizi serikali kandamizi zinaomba msaada kwa wazungu na husemi? hujasikia huyu mzungu anasema jeshi la uganda linapewa fedha na marekani?
 
Back
Top Bottom