Bobi Wine’s first Press conference in USA shakes international Media “I’m coming back home” he says"

Bobi Wine’s first Press conference in USA shakes international Media “I’m coming back home” he says"

Hapa ndipo i. lipo shida ya Waafrica, Tatizo limetokea Africa unakwenda kufanyia press wazungu.. Trump huwa anatutukana Waafrica kama watu ambao hatuwezi kuchukua maamuzi. Bobi anatakiwa apambane huko huko Uganda kwa kuwaunganisha waganda dhidi ya MU7.
Angalia waliolike post yako ni kina nani utazijua akili zako.
 
Angalia waliolike post yako ni kina nani utazijua akili zako.

Suala sio nani kalike na nani hajalike, WaAfrica tuache kulia kulia baadala ya kuchukua maamuzi na kujificha nyuma ya keyboard.
America ilijengwa kwa jasho na damu na babu zao waamerica, haya maneno aliyasema Trump aka Rais wa huko tunakoenda kulialia, Tafsiri ya maneno yale kwa WaAfrica kushikamana na kuijenga Africa kwa jasho na damu kwa manufaa ya WaAfrica..

Jambo baya lolote linatakiwa lionwe na WAGANDA wenyewe maana wao ndio hujua kiasi cha maamuzi na baada ya hapo WAGANDA wenyewe wachukue hatua kwa maslahi ya vizazi vyao na sio kwenda kuwalilia WAAMERICA.
Wanaume hawatakiwi kulialia baadala yake wanatakiwa kuchukua hatua kwa nguvu zote hata kama itacost roho zao.. BABU ZETU WANGEDAI UHURU KWA KULIALIA HIVI SIDHANI KAMA MPAKA LEO TUNGEKUWA HURU..
 
Wewe ni mpumbav na watawala wako wauaji

Moja ya sifa ya Mwanaume sio kupanic hivyo bila shaka utakuwa wakike wewe hii ndio jadi yenu..
Imewekwa hoja baadala ya kujibu hoja unaanza kuita watu wapumbavu hizo ni sifa za kike.

Moja ya sifa kubwa ya Mwanamume ni kupambana na kuleta matokeo na sio kukimbilia kulialia, kama umeshajua hiki ni kibaya jibu lake ni kupambana kuhakikisha unapata kizuri, AMERICA ipo kwa ajili ya kodi za WAAMERICA, suluhu kwa WAAFRICA kama wewe ni kujitambua,kupambana na kuleta matokeo kwa manufaa ya kizazi kijacho, TRUMP aliwahi tamka AMERICA IMEJENGWA KWA JACHO NA DAMU NA BABU ZAO, hili ni jibu tosha kwa WAAFRICA kuijenga AFRICA kwa jasho na damu kwa manufaa ya WAAFRICA na kizazi chao..HUWEZI UKATAKA KUIKOMBOA AFRICA KWA MSAADA WA MAREKANI HATA SIKU MOJA MAANA HUYO MMAREKANI HAHITAJI HATA SIKU MOJA UJIKOMBOE, NI JUHUDI BINAFSI ZA WAAFRICA NDIZO ZITAIKOMBOA AFRICA. TUACHE USHUJAA WA NYUMA YA KEYBOARD ILIHALI MKIONA TU DEFENDER YA FFU MNAKIMBIA..
 
Wewe akiri yako unaielewa mwenyewe Uganda hipi unayosema afanyie press conference?

WaAfrica tuache kulia kulia baadala ya kuchukua maamuzi na kujificha nyuma ya keyboard.
America ilijengwa kwa jasho na damu na babu zao waamerica, haya maneno aliyasema Trump aka Rais wa huko tunakoenda kulialia, Tafsiri ya maneno yale kwa WaAfrica kushikamana na kuijenga Africa kwa jasho na damu kwa manufaa ya WaAfrica..

Jambo baya lolote linatakiwa lionwe na WAGANDA wenyewe maana wao ndio hujua kiasi cha maumivui na baada ya hapo WAGANDA wenyewe wachukue hatua kwa maslahi ya vizazi vyao na sio kwenda kuwalilia WAAMERICA.
Wanaume hawatakiwi kulialia baadala yake wanatakiwa kuchukua hatua kwa nguvu zote hata kama itacost roho zao.. BABU ZETU WANGEDAI UHURU KWA KULIALIA HIVI SIDHANI KAMA MPAKA LEO TUNGEKUWA HURU..
 
Wewe Samurai, kwa uelewa wako atawaunganisha vipi kama walipanga afe katika miezi sita?
Acha unafiki. Mnajitia kuchukia wazungu wakati tunakuwa tegemezi kwao na viongozi wetu wengine ni wabaya kuliko hao wazungu 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂
 
Hapa ndipo ilipo shida ya Waafrica, Tatizo limetokea Africa unakwenda kufanyia press wazungu.. Trump huwa anatutukana Waafrica kama watu ambao hatuwezi kuchukua maamuzi. Bobi anatakiwa apambane huko huko Uganda kwa kuwaunganisha waganda dhidi ya MU7.
Hujasikia kilichowakuta Wanachadema huko Kigamboni kwenye mdahalo wao wa kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu Lisu ashambuliwe kwa risasi?

Vv
 
Back
Top Bottom