Bobi Wine’s first Press conference in USA shakes international Media “I’m coming back home” he says"

Bobi Wine’s first Press conference in USA shakes international Media “I’m coming back home” he says"

Kuomba msaada ni jambo la kawaida sanaa, hata Mandela alipokuwa anapinga ubaguzi wa rangi huko afrika ya kusini alikuja kuomba msaada Tanzania.
Huwezi kwenda kwa chui mwenye njaa kuomba msaada na wewe ni kondoo uliye nona!
 
Bob wine kavaa pork chops shingoni alafu kaenda kwenye umati wa machui walahi!
Totally pathetic and imbecile walahi!
 
Amewaudhi sana Waganda siku akirudi watamaliza kazi hapohapo airport.
 
Bobi kiukweli anamtingisha MU7 sasa, jamaa sio muoga hata kidogo.
Rais wa China na German nao pia ni aibu?
Fikiria Africa tungekuwa na malkia kama ulaya ingekuwa je?
Tusiwe wanafiki katika maamuzi walahi!
Malkia wa Uingereza bado ana nguvu kama ya raisi wa nchi za Afrika?
Mambo ya kuiga toka China ni mengi lakini sio suala la kung'ang'ania madarakani.
 
Hapa ndipo ilipo shida ya Waafrica, Tatizo limetokea Africa unakwenda kufanyia press wazungu.. Trump huwa anatutukana Waafrica kama watu ambao hatuwezi kuchukua maamuzi. Bobi anatakiwa apambane huko huko Uganda kwa kuwaunganisha waganda dhidi ya MU7.
Dictatorship must be exposed to the international community! Bobi anafanya kitu sahihi!
 
Huyo Bobi Wine na kabereti kake na vindevu uchwara tayari keshajiona Che Guevara, duh atapata tabu sana.
 
Hapa ndipo ilipo shida ya Waafrica, Tatizo limetokea Africa unakwenda kufanyia press wazungu.. Trump huwa anatutukana Waafrica kama watu ambao hatuwezi kuchukua maamuzi. Bobi anatakiwa apambane huko huko Uganda kwa kuwaunganisha waganda dhidi ya MU7.

Wewe akiri yako unaielewa mwenyewe Uganda hipi unayosema afanyie press conference?
 
Hapa ndipo ilipo shida ya Waafrica, Tatizo limetokea Africa unakwenda kufanyia press wazungu.. Trump huwa anatutukana Waafrica kama watu ambao hatuwezi kuchukua maamuzi. Bobi anatakiwa apambane huko huko Uganda kwa kuwaunganisha waganda dhidi ya MU7.
Wewe ni mpumbav na watawala wako wauaji
 
Amewaudhi sana Waganda siku akirudi watamaliza kazi hapohapo airport.
Itaondoaje ukweli wa udhalimu wao....
Halafu umewahi kujiuliza nani ataishi Milele kwenywe ulimwengu huu
 
Well said
Ni sawa na kondoo kwenda kwa chui kuomba msaada!
Hivi hawa oni Syria, Libya, palestina, Yemen na kwingineko wadhungu wanavyo wauwa watu kama nzi?
Ndio maana Mwenye Enzi Mungu anawalaani na kuwauwa wapinzani wa Africa kila iitwapo leo walahi!
That’s all
Hao waarabu hawana akili wanapigana wenyewe kila siku.
 
Back
Top Bottom