This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Angalia waliolike post yako ni kina nani utazijua akili zako.Hapa ndipo i. lipo shida ya Waafrica, Tatizo limetokea Africa unakwenda kufanyia press wazungu.. Trump huwa anatutukana Waafrica kama watu ambao hatuwezi kuchukua maamuzi. Bobi anatakiwa apambane huko huko Uganda kwa kuwaunganisha waganda dhidi ya MU7.
Hawana akili wakati bakhresa anatesa.Hao waarabu hawana akili wanapigana wenyewe kila siku.
Angalia waliolike post yako ni kina nani utazijua akili zako.
Wewe ni mpumbav na watawala wako wauaji
Wewe akiri yako unaielewa mwenyewe Uganda hipi unayosema afanyie press conference?
Hujasikia kilichowakuta Wanachadema huko Kigamboni kwenye mdahalo wao wa kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu Lisu ashambuliwe kwa risasi?Hapa ndipo ilipo shida ya Waafrica, Tatizo limetokea Africa unakwenda kufanyia press wazungu.. Trump huwa anatutukana Waafrica kama watu ambao hatuwezi kuchukua maamuzi. Bobi anatakiwa apambane huko huko Uganda kwa kuwaunganisha waganda dhidi ya MU7.