warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Shoga maarufu na mwenye mafanikio ya kutisha kutoka pande za Nigeria , Idris okuneye, maarufu kama Bobrisky, ametangaza ujio wake kwenye ardhi ya Magu, baada ya kualikwa na Msanii kutoka bongo Gigy money
Ukaribu wa mastaa hao ulianza mapema mwaka huu baada ya watu kuwafananisha mastaa hao kuwa wamefanana, hivyo wao binafsi wakafanya jitihada za kutafutana na kuyajenga
Bado haijajulikana kama kutakua na project au ni
personal visiting tu ya kumtembelea Shoga ake gigy money
Haya mastaa wabongo mjiandae kuibiwa waume zenu, bobrisky ana pesa chafu na vijanaume vyenu vilivyo na njaa soon vitabebwa