Bobrisky kutua Tanzania, aletwa na Gigy money

kweli maisha sio fair, yan shoga mzima kanizidi dhambi na uzuri juu
Achana na mambo ya filter hana uzuri wowote. Kuna siku niliona picha yake ambayo hajajiedit. Sura ina mpauko ule wa mkorogo wa bei chee.
Hizi filter ambaye hatokei mzuri labda zombie
 
hivi kumbe ni filters??? kweli niko nyuma nyuma
 
Ngoja tuone wakatao mpokea
Je akija shog.a atapewa airtime au ?

Ova
 
hivi kumbe ni filters??? kweli niko nyuma nyuma
Upo nyuma kwakweli
20201101_131613.jpg
 
Sasa tuone ccm wakimkatalia visa maana si wanapinga ushoga
 
Huyu ndie gasho anae sukumiwa mjegejo...[emoji44][emoji44]
 
Shoga maarufu na mwenye mafanikio ya kutisha kutoka pande za Nigeria , Idris okuneye, maarufu kama Bobrisky, ametangaza ujio wake kwenye ardhi ya Magu, baada ya kualikwa na Msanii kutoka bongo Gigy money

Ukaribu wa mastaa hao ulianza mapema mwaka huu baada ya watu kuwafananisha mastaa hao kuwa wamefanana, hivyo wao binafsi wakafanya jitihada za kutafutana na kuyajenga

Bado haijajulikana kama kutakua na project au ni View attachment 1614519
personal visiting tu ya kumtembelea Shoga ake gigy money

Haya mastaa wabongo mjiandae kuibiwa waume zenu, bobrisky ana pesa chafu na vijanaume vyenu vilivyo na njaa soon vitabebwaView attachment 1614520
View attachment 1614521
View attachment 1614523
Haya tumuache gigg na shoga yake wajimwayemwaye. Hahahahaha!
1713523598636.png
 
Shoga maarufu na mwenye mafanikio ya kutisha kutoka pande za Nigeria , Idris okuneye, maarufu kama Bobrisky, ametangaza ujio wake kwenye ardhi ya Magu, baada ya kualikwa na Msanii kutoka bongo Gigy money

Ukaribu wa mastaa hao ulianza mapema mwaka huu baada ya watu kuwafananisha mastaa hao kuwa wamefanana, hivyo wao binafsi wakafanya jitihada za kutafutana na kuyajenga

Bado haijajulikana kama kutakua na project au ni View attachment 1614519
personal visiting tu ya kumtembelea Shoga ake gigy money

Haya mastaa wabongo mjiandae kuibiwa waume zenu, bobrisky ana pesa chafu na vijanaume vyenu vilivyo na njaa soon vitabebwaView attachment 1614520
View attachment 1614521
View attachment 1614523
Kwani huyu ni mwanaume? Dunia imekwisha aisee!
 
Back
Top Bottom