Bobrisky, The famous and rich Gay in Nigeria

Bobrisky, The famous and rich Gay in Nigeria

Lahaula mbele ni mbele tu kwakweli

Hapa lazima uingie king
Huyu jems[emoji2296][emoji114]
60136941_506745609860259_6595862845663006892_n.jpeg
68816655_161203438394537_8002410322539544597_n.jpeg
 
Jina lake la kuzaliwa ni Okuneye Idris mzaliwa wa Lagos Nigeria

Lakini jina lake maarufu mitandaoni ni "Bobrisky" huyu ndo malkia maarufu sana huko snapchat na pia instagram anayetrend sana


Huyu ni mwanaume lakini ukimtazama ameamua kujibadilisha na kuwa kama mwanamke

Huyu ndo shoga tajiri zaidi africa akimiliki magari ya ghali zaidi majumba ya kifahari na biashara za vipodozi,mawigi na kope

Aliwahi kusema kuwa yeye anatoka na tajiri maarufu zaidi Africa lakini siku zote amekua akijiepusha kumuanika mpenzi wake hadharani

Pia inadaiwa mama yake mwanzo alikua akipinga hatua hiyo ya mwanae lakini hivi sasa amekua akimsapoti kila hatua ya mwanae

Huyo ndo bobrisky shoga tajiri zaidi Africa View attachment 1214831View attachment 1214832View attachment 1214833View attachment 1214834View attachment 1214835View attachment 1214836View attachment 1214837View attachment 1214839View attachment 1214843
Wewe ni namba ngapi?
 
May God Almighty have mercy upon all of U who are in support of this, God who has made him a man has a purpose for bringing him to this world as a man. How would this purpose be accomplished now that he has turned himself to a woman?Question to the house. Waiting for responses plz.
61333511_2313486722303781_9171112652913508352_o.jpg
 
Mleta mada naona kama unafurahia mafanikio ya huyo shoga vile...ulipaswa kukemea
 
Back
Top Bottom