BOCCA DELLA VERITÁ: Sanamu ambayo ukiongea uwongo hukukata vidole

BOCCA DELLA VERITÁ: Sanamu ambayo ukiongea uwongo hukukata vidole

Hilo sanamu lingekuwa Tanzania,
wana ndoa wote na wapenzi wao wangekuwa vilema..

99% ya wanandoa so waaminifu.
Asilimia moja unamwachia nani? Weka 100% kabisa. Hakuna ambaye hajawahi saliti ndoa yak, hakuna. Kama nasema uongo twende nikaweke vidole
 
Back
Top Bottom