fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
RispectKwanin lisitumike MAHAKAMANI../ KTK Shughuli za kuapisha Viongozi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RispectKwanin lisitumike MAHAKAMANI../ KTK Shughuli za kuapisha Viongozi?
Kwamba hawasaliti au?Kama ni hao weka negative kabisa....
🤣🤣🤣Kwamba hawasaliti au?
waungaji mkonoRispect
🤣🤣🤣Ingekuwa powa sana Kama viongozi wote wangekuwa wanapenda kuapishwa hapo
hata mimi najiuliza ujiulizachoVidole vinaenda wapi vikikatwa
🤣🤣🤣🤣Mimi ..... naapa kuilinda na kuitunza Katiba ya.....( Kabla ya kufika mwisho mara huna vidole[emoji1787])
🤣🤣🤣🤣Asilimia moja unamwachia nani? Weka 100% kabisa. Hakuna ambaye hajawahi saliti ndoa yak, hakuna. Kama nasema uongo twende nikaweke vidole
kwa maana ipi mkuuMzungu mjanja sana
Nguvu za kienyeji anaziremba na kuzipa jina safikwa maana ipi mkuu
Wangeunda sheria ya kulivunja sanamu..ili wapige PESA.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣Lisu Kama anajiamini ande apo sasa
ndonyaa,,,🤣🤣🤣Nguvu za kienyeji anaziremba na kuzipa jina safi
Ila zakwetu tunazipa majina mara juju,zongo,limbwata nk
Itakuletea shidaKwanin lisitumike MAHAKAMANI../ KTK Shughuli za kuapisha Viongozi?
😂😂😂😂Itakuletea shida
Hawa watu wamewatia upofu kweli1% nimewaachia wachungaji na mashehe.
Kkkkkkk