Boda boda jipendeni wenyewe serikali haitakujaga iwajali hakika

Boda boda jipendeni wenyewe serikali haitakujaga iwajali hakika

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
901
Reaction score
3,112
Ukweli ni huu hapa acheni kujifariji nyinyi ni bodaboda tu. Ibaki hivo achaneni na kupewa sifa na majina mazuri

Serikali ingekuwa inawapenda isinge ruhusu kuingia kwa helmet feki na laini kuliko hata kichwa Cha mwanadamu.

Kuruhusu helmet feki ni sawa na kuruhusu vifaa tiba au dawa feki kwani ni zinahusu uhai wa watu.

Nimemaliza
Screenshot_20260117-171347_1.jpg
Screenshot_20260117-171112_1.jpg
 
Nguvu kazi ya Taifa imehamia kwenye bodaboda.!

Hata wakati ule nahitimu shule ya msingi NAKAPANYA sikudhani ulimwengu ninaoendea wa hovyo kiwango hiki

We have detach Owersels to the foe
 
Back
Top Bottom