Desierto JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 901 Reaction score 3,112 Jan 17, 2026 #1 Ukweli ni huu hapa acheni kujifariji nyinyi ni bodaboda tu. Ibaki hivo achaneni na kupewa sifa na majina mazuri Serikali ingekuwa inawapenda isinge ruhusu kuingia kwa helmet feki na laini kuliko hata kichwa Cha mwanadamu. Kuruhusu helmet feki ni sawa na kuruhusu vifaa tiba au dawa feki kwani ni zinahusu uhai wa watu. Nimemaliza
Ukweli ni huu hapa acheni kujifariji nyinyi ni bodaboda tu. Ibaki hivo achaneni na kupewa sifa na majina mazuri Serikali ingekuwa inawapenda isinge ruhusu kuingia kwa helmet feki na laini kuliko hata kichwa Cha mwanadamu. Kuruhusu helmet feki ni sawa na kuruhusu vifaa tiba au dawa feki kwani ni zinahusu uhai wa watu. Nimemaliza
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Jan 17, 2026 #2 Hao ni maofisa uchwara wa mbogamboga wakipata kilema wanasahaulika.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jan 18, 2026 #3 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw
ManchoG JF-Expert Member Joined Jul 31, 2017 Posts 3,828 Reaction score 5,728 Jan 18, 2026 #4 Nguvu kazi ya Taifa imehamia kwenye bodaboda.! Hata wakati ule nahitimu shule ya msingi NAKAPANYA sikudhani ulimwengu ninaoendea wa hovyo kiwango hiki We have detach Owersels to the foe
Nguvu kazi ya Taifa imehamia kwenye bodaboda.! Hata wakati ule nahitimu shule ya msingi NAKAPANYA sikudhani ulimwengu ninaoendea wa hovyo kiwango hiki We have detach Owersels to the foe