Boda boda ni wambea sana

Boda boda ni wambea sana

Mwanamke unakubaliji kuolewa na hawa jamaa waendesha bodaboda ni wambea sana wafitinishaji ndio maana hayafanikiwagi
Umezingua..

1. Kwani anayesafirisha abiria kwa usafiri wa pikipiki, hatakiwi kuoa?

2. Suala kufanikiwa, ni suala la mtu binafsi, sio kazi anayofanya..

3. Kwani boda boda ndio wambea peke yao?
 
Umezingua..

1. Kwani anayesafirisha abiria kwa usafiri wa pikipiki, hatakiwi kuoa?

2. Suala kufanikiwa, ni suala la mtu binafsi, sio kazi anayofanya..

3. Kwani boda boda ndio wambea peke yao?
Wacha tuwagingee tuu wake zao wanatuleta madhara mingi hawa watu
 
[emoji16][emoji16]
Umefanya upuuzi wamemwambia mkeo unakuja kulialia hapa. Yani wasifanikiwe kisa kukusemea kwa wife ila ufanikiwe wewe mzinzi?
 
K
Mwanamke unakubaliji kuolewa na hawa jamaa waendesha bodaboda ni wambea sana wafitinishaji ndio maana hayafanikiwagi
Kuna mahali nimesoma wameandika "mdada usimpee bodaboda atakushangaza kwa maneno yaani utakuta wengine washalala na wewe kiakili sababu ya mdomo. Wakale vya wake zao"
 
umegongewa na ogopa Sana endapo unakesi au unatafutwa ujichanganye na kupanda bajaji au pikipiki ogopa Sana vituo hivyo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wamekufanyaje jamani, hebu tulia utupe mkasa vyema.
 
Mwanamke unakubaliji kuolewa na hawa jamaa waendesha bodaboda ni wambea sana wafitinishaji ndio maana hayafanikiwagi
Pole, mi mwenyw dereva boda boda, hiyo tabia hatuna kabisa na mafanikio sio haba tunayapata.!!
 
Mwanamke kulowa haitaji Ndinga bali mwanaume aliyemvutia hata kama ni shamba boy anapewa mzigo
 
Back
Top Bottom