Boda boda ni wambea sana

Boda boda ni wambea sana

Mwanamke unakubaliji kuolewa na hawa jamaa waendesha bodaboda ni wambea sana wafitinishaji ndio maana hayafanikiwagi
Boda boda wako kasanua michongo yako ya chocho kwa ujira mduchu unaomlipa..
 
Boda boda wanajua siri zote za mtaa, ukitaka kumchunguza mtu mpe pesa Boda boda
 
Back
Top Bottom