M Makupa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 7,237 Reaction score 4,347 May 31, 2025 #1 Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimomo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana? Attachments f415205a-4730-46d5-919b-dd46f0b43f9d.mov 2.1 MB
Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimomo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
Ngwathra Platinum Member Joined Jul 11, 2007 Posts 7,258 Reaction score 14,942 May 31, 2025 #2 Elimu yako kenge?