Tuseme chombo ni 3,000,000.
Ukiimpa mtu kwa rejesho la 10,000 kwa siku kwa siku 6 ni 10000*6*52=3,120,000 kwa mwaka 12 miezi.
Hapo unaassume huyo boda hajaumwa,hajapata ajali,hajapata dharura na service nimekubaliana atafanya yeye, yani siku 6 za wiki yuko mzigoni.
Hivyo itakuchukua mwaka kurudisha 3,000,000 yako ya chombo na kachenchi ka maji 120,000. Kwa mwaka mmoja atakuwa amerudisha hela ya chombo then kama unampa mwaka mwingine mzima ndio unakuwa umepata 3,120,000 nyingine.
Ukigawanya hiyo profit ya 3,120,000 kwa miaka miwili ni 3,120,000Ć·(365*2)=4273/siku.
Yaani pesa taslimu Alfu inne mia bee sabini na taraa. Sasa hapo pia assume haujapiga hata simu kumuulizia hela ,hamjazungushana , hajakupandisha BP kidogo š¤£š¤£ kiufupi hajakusumbua.
Elfu inne sio ndogo kwa siku ila stress zake mpaka uipate ukipata boda msumbufu utatamani umnyanyanye hata uikate skrepa au uipike supu uinywe š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£.
Biashara ya usafirishaji eti boda sijui bajaji ? Maaamaaeeee.