molecule2004
Member
- Jun 28, 2025
- 30
- 59
Huwa kwa kawaida anaepewa chombo anahitajika apeleke rejesho la shingapi lets say yupo dsmMikataba mingi ni mwaka mzima, ila hakuna biashara kichaa kama hiyo. Unaweza pata kisukari kama ulikuwa huna
Hata pool table upete sehemu iliyochangamka yani pawe na vijana weng ndio utaona faidaBora ununue pool table kuliko hayo mambo
Nilikuw na bodaboda 17 za mkataba.
Faida kubwa kwangu sikutaka kulaza hela bank kwenye account
So hesabu zangu zikaniambia hata kama dereva atasumbua kuleta hela kwa wakati, nikipata hela yangu sio shida
Ila hii biashara ilikuwa ngumu sana boda wengi wana umasikini wa kifamilia. Umasikini wa kuzaliwa kurithi
Mfano. Mmoja alikuwa anakimbia mpaka kijiwe anakaa hata miezi mitatu hajaleta hela. Usumbufu mwingi
PAle ambapo nilisema sitapata hasara ikawa nadharia. Mara kagonga mtu polisi kwa sana. Huyo mmoja aligonga mwanamke mjamzito kwenye zebra tena huyo mama akiwa amemshika mtoto mkononi
ALigongwa mzee miaka 90 anaumwa kisukari. Ilinibidi niingie gharama mfukoni. Na madeni kulipw na huyo boda mpaka leo hajanilipa na tumeandikishana
Mwisho wa siku nikaita wote nikazikusanya nikauza pikipiki 7
Wengine iliibiwa mara kach3za kamali tafrani tupu
Kuna makampuni na watu wanapiga hela kwenye hii biashara ingawa kwangu ilikuwa hasara.
Nilichojufunza
- Kuna watu masikini wa kuzaliwa yeye hata umpe milliom 100 atabaki kuwa masikini tu
Yan unakuta mtu ana shida anashindwa hata kulea familia anapewa kazi anachezea. Unajiuliza huyu yuko timamu kweli?
BOra uwekeze kwenye biashara moja kuliko kugawanya kwa boda. Watakusumbua sana
Ukiona dereva anaendesha pikipiki miaka 8 anashindwa hata kununua ya kwak3 bure kabisa. .
Kweli kuna kasheshe apaNilikuw na bodaboda 17 za mkataba.

Uo sio uwekezaji🙌🙌 ni chombeza yakuwavuta wateja kwenye uwekezaji wako kama vile bar,club,play stations n.kBora ununue pool table kuliko hayo mambo
Io biashara ya pull table haiwezi kukutoa ulipo🙌🙌 labda kama unatumia ugangaHAZILIPI
📌Mikataba mingi ni mwaka mzima, ila hakuna biashara kichaa kama hiyo. Unaweza pata kisukari kama ulikuwa huna
Siku nyingi sana toka niache kufuatilia hayo mambo hivyo siwezi kukupa jibu la uhakika. Hali huwa inabadilika kulingana na wakati.Mikataba mingi ni mwaka mzima, ila hakuna biashara kichaa kama hiyo. Unaweza pata kisukari kama ulikuwa huna
Acha ufwala wewe una roho ya korosho tu.Mngekuwa hamna tabia za kuropoka mngeonyeshwa sehemu za kuweka pesa yako na unapata returns za uhakika kati ya 25% hado 65%. Ila kwasababu ya uropokaji mkionyeshwa ulimbukeni wa mafanikio mnaanza kujitangaza mtandaoni hadi mnaharibia watu mifumo yao.
Anyways,tuendelee kuishi kimkakati.
Ulikuwa huna haja yakureply 🙌Mngekuwa hamna tabia za kuropoka mngeonyeshwa sehemu za kuweka pesa yako na unapata returns za uhakika kati ya 25% hado 65%. Ila kwasababu ya uropokaji mkionyeshwa ulimbukeni wa mafanikio mnaanza kujitangaza mtandaoni hadi mnaharibia watu mifumo yao.
Anyways,tuendelee kuishi kimkakati.
Biashara kichaa hiyoLeo nimekaa nikawa najiuliza biashara ya boda boda za mkataba na hesabu huwa zinawalipaje wamiliki wa bodaboda izo na huchukua muda gani kurudisha mtaji na kupata faida
Embu wanaujua hii waweke comment hapa😁
AiseeMfano. Mmoja alikuwa anakimbia mpaka kijiwe anakaa hata miezi mitatu hajaleta hela. Usumbufu mwingi
Hiyo biashara hufanywa na watu ambao pesa zao hazina kaziLeo nimekaa nikawa najiuliza biashara ya boda boda za mkataba na hesabu huwa zinawalipaje wamiliki wa bodaboda izo na huchukua muda gani kurudisha mtaji na kupata faida
Embu wanaujua hii waweke comment hapa😁