Salaam, Shalom!!
Mkiniambia kuwa ninyi mko kibiashara zaidi, mbona ikitokea gari imemgonga mwenzenu Huwa mnaikimbiza Kwa gharama zenu bila kujali HASARA ya kupoteza mafuta?
Iweje mlipwe na Kila mwanasiasa mwenye pesa?
Yaani yeyote mwenye uwezo wa kuwajazia full tank mko naye na hamjali chochote!!
Ifike Mahali chama kilichowafanya mkose ajira Rasmi, chama kilichoua viwanda vilivyokuwepo mkigomee kukipa support kwenye maandamano na mikutano Yao, maana Huwa mnatumika picha zenu na hizo bendera mnazofunga ni mtaji wao kisiasa kuwahadaa Watanzania kwamba chama hicho kinakubalika kumbe sio.
Linapokuja swala la Ukombozi wa Nchi, tumieni Ile kauli ya "MASKINI JEURI".
Turudi zamani, enzi zile Mrema alikuwa akizima gari, inasukumwa free kilometer kadhaa. Makamanda wakifika mikoa yenu, wekeni kando biashara Kisha hudhurieni mikutano Kwa gharama zenu.
Sacrifice ni muhimu sana Kwa wakati tuliopo.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni.🙏