Bodaboda acheni undumilakuwili kwenye siasa, kuweni na msimamo, saa ya Ukombozi ni sasa!!

Niliwakuta boda wa CHADEMA wanajaza mafuta maeneo ya Segerea.

Boda kujazwa mafuta ni kawaida. Au ulitaka zijazwe maziwa?
Ndio nasema,

Wanatakiwa wajitolee.

Mambo ya full tank za Bure ni RUSHWA kama RUSHWA zingine. Kwahiyo akija Mpina, Slaa, Mwabukusi au Lissu asiye na pesa za kuwafa full tank,hamwendi kumsikiza sio!!

Uzalendo utangulie mbele.
 
Salaam, Shalom!!

Mkiniambia kuwa ninyi mko kibiashara zaidi, mbona ikitokea gari imemgonga mwenzenu Huwa mnaikimbiza Kwa gharama zenu bila kujali HASARA ya kupoteza mafuta?

Iweje mkodiwe na Kila mwanasiasa mwenye pesa?

Yaani yeyote mwenye uwezo wa kuwajazia full tank mko naye na hamjali chochote!!

Ifike Mahali chama kilichowafanya mkose ajira Rasmi, mkigomee kukipa support kwenye maandamano na mikutano Yao, maana Huwa mnatumika picha zenu na hizo bendera mnazofunga ni mtaji wao kisiasa kuwahadaa Watanzania kwamba chama hicho kinakubalika kumbe sio.

Linapokuja swala la Ukombozi wa Nchi, tumieni Ile kauli ya "MASKINI JEURI".

Turudi zamani, enzi zile Mrema alikuwa akizima gari, inasukumwa free kilometer kadhaa. Makamanda wakifika mikoa yenu, wekeni kando biashara Kisha hudhurieni mikutano. Sacrifice ni muhimu sana Kwa wakati tuliopo.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni.🙏
Je humu hao walengwa wapo tatizo nyie hamna hela unawasema buree, nani sala mbongo, (nani hapendi Hela?), Tafuteni nanyie mbinu za kuwashawishi bodaboda wahamie huko kwenye mtandao wenu
 
Boda Boda ndio wengi kuliko sekta yoyote nchini sekta binafsi,

Nenda katafiti, humu ni wengi sana ingawa wengi huigiza matajiri.
 
Kabla ya kukemea bodaboda ungeuanza kwanza na maaskofu, wachungaji, mitume, manabii, na waalimu
Ambao wameshindwa kukemea maovu ya serikali ya kifisadi ya CCM.
Mimi ni mwalimu na kiongozi kiimani ninayekemea UOVU wazi kabisa
 
Mbona Nyerere walomuelewa?

Likewise, Mpina tunamwelewa bila kutuhonga
Good, Safi sana p1, je mnaelewa kuhusu watu mnaodhani Wana akili kwamba baadhi Yao huahirisha kufikiri Kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kutumikia kundi Fulani kwa masilahi binafsi na ni waoga kwa viongozi wao na ndiyo hao wametufikisha hivi tulivyo
 
Kila mtu ana uhuru wa kufuata siasa anazotaka. Siyo kwamba za kwako ndiyo sahihi sana.
 
Salaam, Shalom!!

Mkiniambia kuwa ninyi mko kibiashara zaidi, mbona ikitokea gari imemgonga mwenzenu Huwa mnaikimbiza Kwa gharama zenu bila kujali HASARA ya kupoteza mafuta?

Iweje mkodiwe na Kila mwanasiasa mwenye pesa?

Yaani yeyote mwenye uwezo wa kuwajazia full tank mko naye na hamjali chochote!!

Ifike Mahali chama kilichowafanya mkose ajira Rasmi, mkigomee kukipa support kwenye maandamano na mikutano Yao, maana Huwa mnatumika picha zenu na hizo bendera mnazofunga ni mtaji wao kisiasa kuwahadaa Watanzania kwamba chama hicho kinakubalika kumbe sio.

Linapokuja swala la Ukombozi wa Nchi, tumieni Ile kauli ya "MASKINI JEURI".

Turudi zamani, enzi zile Mrema alikuwa akizima gari, inasukumwa free kilometer kadhaa. Makamanda wakifika mikoa yenu, wekeni kando biashara Kisha hudhurieni mikutano. Sacrifice ni muhimu sana Kwa wakati tuliopo.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni.🙏
Ndio mnavyowadanganyaga hivyo? 😂😂
 
Kila mtu ana uhuru wa kufuata siasa anazotaka. Siyo kwamba za kwako ndiyo sahihi sana.
Choice zao kisiasa zibaki pale pale,

Tunachoongelea ni RUSHWA ya full tank Toka Kwa wanasiasa.

Sijui unaelewa?
 
Back
Top Bottom