Ndio nasema,Niliwakuta boda wa CHADEMA wanajaza mafuta maeneo ya Segerea.
Boda kujazwa mafuta ni kawaida. Au ulitaka zijazwe maziwa?
Je humu hao walengwa wapo tatizo nyie hamna hela unawasema buree, nani sala mbongo, (nani hapendi Hela?), Tafuteni nanyie mbinu za kuwashawishi bodaboda wahamie huko kwenye mtandao wenuSalaam, Shalom!!
Mkiniambia kuwa ninyi mko kibiashara zaidi, mbona ikitokea gari imemgonga mwenzenu Huwa mnaikimbiza Kwa gharama zenu bila kujali HASARA ya kupoteza mafuta?
Iweje mkodiwe na Kila mwanasiasa mwenye pesa?
Yaani yeyote mwenye uwezo wa kuwajazia full tank mko naye na hamjali chochote!!
Ifike Mahali chama kilichowafanya mkose ajira Rasmi, mkigomee kukipa support kwenye maandamano na mikutano Yao, maana Huwa mnatumika picha zenu na hizo bendera mnazofunga ni mtaji wao kisiasa kuwahadaa Watanzania kwamba chama hicho kinakubalika kumbe sio.
Linapokuja swala la Ukombozi wa Nchi, tumieni Ile kauli ya "MASKINI JEURI".
Turudi zamani, enzi zile Mrema alikuwa akizima gari, inasukumwa free kilometer kadhaa. Makamanda wakifika mikoa yenu, wekeni kando biashara Kisha hudhurieni mikutano. Sacrifice ni muhimu sana Kwa wakati tuliopo.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA πΉπΏ
Karibuni.π
Boda Boda ndio wengi kuliko sekta yoyote nchini sekta binafsi,Je humu hao walengwa wapo tatizo nyie hamna hela unawasema buree, nani sala mbongo, (nani hapendi Hela?), Tafuteni nanyie mbinu za kuwashawishi bodaboda wahamie huko kwenye mtandao wenu
Je watakuelewa? Maneno matupu hayavunji mfupaBoda Boda ndio wengi kuliko sekta yoyote nchini sekta binafsi,
Nenda katafiti, humu ni wengi sana ingawa wengi hujifanua matajiri.
Mimi ni mwalimu na kiongozi kiimani ninayekemea UOVU wazi kabisaKabla ya kukemea bodaboda ungeuanza kwanza na maaskofu, wachungaji, mitume, manabii, na waalimu
Ambao wameshindwa kukemea maovu ya serikali ya kifisadi ya CCM.
Mbona Nyerere walomuelewa?Je watakuelewa? Maneno matupu hayavunji mfupa
Good, Safi sana p1, je mnaelewa kuhusu watu mnaodhani Wana akili kwamba baadhi Yao huahirisha kufikiri Kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kutumikia kundi Fulani kwa masilahi binafsi na ni waoga kwa viongozi wao na ndiyo hao wametufikisha hivi tulivyoMbona Nyerere walomuelewa?
Likewise, Mpina tunamwelewa bila kutuhonga
Change inaanza na weweKomboa familia yako
Ndio mnavyowadanganyaga hivyo? ππSalaam, Shalom!!
Mkiniambia kuwa ninyi mko kibiashara zaidi, mbona ikitokea gari imemgonga mwenzenu Huwa mnaikimbiza Kwa gharama zenu bila kujali HASARA ya kupoteza mafuta?
Iweje mkodiwe na Kila mwanasiasa mwenye pesa?
Yaani yeyote mwenye uwezo wa kuwajazia full tank mko naye na hamjali chochote!!
Ifike Mahali chama kilichowafanya mkose ajira Rasmi, mkigomee kukipa support kwenye maandamano na mikutano Yao, maana Huwa mnatumika picha zenu na hizo bendera mnazofunga ni mtaji wao kisiasa kuwahadaa Watanzania kwamba chama hicho kinakubalika kumbe sio.
Linapokuja swala la Ukombozi wa Nchi, tumieni Ile kauli ya "MASKINI JEURI".
Turudi zamani, enzi zile Mrema alikuwa akizima gari, inasukumwa free kilometer kadhaa. Makamanda wakifika mikoa yenu, wekeni kando biashara Kisha hudhurieni mikutano. Sacrifice ni muhimu sana Kwa wakati tuliopo.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA πΉπΏ
Karibuni.π
Choice zao kisiasa zibaki pale pale,Kila mtu ana uhuru wa kufuata siasa anazotaka. Siyo kwamba za kwako ndiyo sahihi sana.
Sasa huo ndiyo undumilakuwili?Choice zao kisiasa zibaki pale pale,
Tunachoongelea ni RUSHWA ya full tank Toka Kwa wanasiasa.
Sijui unaelewa?
Sasa hapo huelewi nini?Sasa huo ndiyo undumilakuwili?
Kwamba kujaziwa mafuta ni undumila kuwili?Sasa hapo huelewi nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umewaona boda boda tu, mbona wasome wa vyuo vikuu kutwa kuimba ngonjera? Kila mtu ale kwa urefu kamba yake
Utakomboa empty handed?Komboa familia yako