Bodaboda akikwambia usioe huyo mwanamke, acha kweli

Bodaboda akikwambia usioe huyo mwanamke, acha kweli

Ni kweli....mapepe wengi wana urafiki na bodaboda alafu wanadhani urafiki wao na hao boda boda unaweza kuficha Siri zao za kupekekwa lodge/Guests houses...
 
Japo siungi mkono udhalilishaji wa wanawake hii post imenikumbusha post ya kijana mmoja mkoani.alimpost mshkaji wake mtandaoni akiwa kwenye harusi kashikana na mkewe akaandika caption

"Kaka hongera kwa kuopoa ndala za chooni na kuziingiza ndani...siku nyingine ukija uwe unauliza wenyeji kwanza!


Nkabaki nawaza tu kizazi cha leo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Je kama yeye alikataliwa kaamua kumukomoa mwenzie, kuna mtu aliacha mpenzi kisa maneno, akaoa mwingine baada ya muda mkewe kafariki, akaoa mwingine huyu yeye kamkimbia, sasa akajiuliza amtafute yule aliyemwacha huenda ndiye chaguo lake, kwenda alishaolewa, sasa alishabaki kama danga lakiume. Maneno yakuambiwa changanya na akili zako.
 
fb3da9e2-1b91-4751-ae8f-6c89bffb40b8.jpg
 
Na mungu akikupatia maono kuhusu uyo mwanamke ambae boda kasema je itakuaje?
 
Sio boda boda tu jichanganye na masela mtaani kwako,utapata za ndaaani kabisa za huyo malkia wako.
 
Bodaboda acheni mambo hizo, acheni raia wabanane hapo hapo mana haina makombo ile kitu
 
Back
Top Bottom