Japo siungi mkono udhalilishaji wa wanawake hii post imenikumbusha post ya kijana mmoja mkoani.alimpost mshkaji wake mtandaoni akiwa kwenye harusi kashikana na mkewe akaandika caption
"Kaka hongera kwa kuopoa ndala za chooni na kuziingiza ndani...siku nyingine ukija uwe unauliza wenyeji kwanza!
Nkabaki nawaza tu kizazi cha leo[emoji23][emoji23][emoji23]