Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kwani sizile za mkopo kausha damu kwa tuvijana twa boda twenye kula nyasi na offer ya kupakiwa turangi tule twa ovyo twa kijani hivi au ni tuvijana tunaojua Watanzania na taifa linahitaji nini?Safi
si gongo mnapika nyinyiWanywa gongo siku hizi ni wajasiriamali ?? CCM ni laana nchi hii.
Waache kutafuta riziki wanye kumsikiliza kichaa Lema na MdudeBaadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, inatarajiwa kusikilizwa.
Akizungumza katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Ilala, Makamu Mwenyekiti wa Wajasiriamali Wadogo nchini, Steven Lusinde, amesema wanachama wao wameamua kutumia siku hiyo kwa shughuli za kiuchumi badala ya kushiriki maandamano.
"Hatuko tayari kupoteza muda kwenye maandamano. Tunajitambua na tunathamini kazi zetu za kila siku ambazo zinatuletea riziki na maendeleo," amesema Lusinde.
Lusinde ameongeza kuwa wanapinga vitendo vya uchochezi, na badala yake wanahamasisha amani na utulivu. Pia amekumbusha kauli ya zamani ya mmoja wa viongozi wa CHADEMA aliyewahi kudharau kazi ya bodaboda kwa kusema ni 'kazi ya laana, jambo ambalo bado halijapokewa vizuri na wahusika.
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Shirikisho la Maofisa Wasafirishaji nchini, Said Kagomba, amethibitisha kuwa wamepata taarifa za maandamano kupitia vyombo vya habari, lakini hawatashiriki. Ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kuhakikisha amani inadumishwa.
View attachment 3311038
Chanzo: Nipashe
Ndio shida ya kiburi hicho.Wapiga kura wamewakataa na mtakuja na kashfa na matusi kama kawaida yenu.Wanywa gongo siku hizi ni wajasiriamali ?? CCM ni laana nchi hii.
Kuna mtu alijua yupo nchi hii? Tell him no body give a f**k about speech yake, nchi hii inasikiliza wenye powers tuMwenyekiti wa Chama cha Madereva Bajaji wenye Ulemavu katika soko la Kariakoo, Gosbart Kajaramba akitoa msimamo wao kuhusu kushiriki kwenye maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yaliyotangazwa kufanyika Aprili 24, 2025.
Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, inatarajiwa kusikilizwa.
Akizungumza katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Ilala, Makamu Mwenyekiti wa Wajasiriamali Wadogo nchini, Steven Lusinde, amesema wanachama wao wameamua kutumia siku hiyo kwa shughuli za kiuchumi badala ya kushiriki maandamano.
“Hatuko tayari kupoteza muda kwenye maandamano. Tunajitambua na tunathamini kazi zetu za kila siku ambazo zinatuletea riziki na maendeleo,” amesema Lusinde.
Lusinde ameongeza kuwa wanapinga vitendo vya uchochezi, na badala yake wanahamasisha amani na utulivu. Pia amekumbusha kauli ya zamani ya mmoja wa viongozi wa CHADEMA aliyewahi kudharau kazi ya bodaboda kwa kusema ni ‘kazi ya laana’, jambo ambalo bado halijapokewa vizuri na wahusika.
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Shirikisho la Maofisa Wasafirishaji nchini, Said Kagomba, amethibitisha kuwa wamepata taarifa za maandamano kupitia vyombo vya habari, lakini hawatashiriki. Ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kuhakikisha amani inadumishwa.
“Leo wanatuita tushiriki maandamano, ilhali waliwahi kudharau kazi zetu—kazi zilizotuwezesha kujenga nyumba, kulea familia zetu na kushiriki maendeleo ya nchi,” amesema Kagomba.
Naye Mwenyekiti wa Waendesha Bajaji wenye ulemavu wa Kariakoo, Gosbart Kajaraba, ameeleza kuwa wao wanatanguliza utulivu na maendeleo.
“Tunataka mazingira salama ya kufanya kazi, siyo maandamano yanayoweza kuvuruga shughuli zetu,” amesema.
Katika hatua nyingine, viongozi wa machinga kutoka Soko la Ilala wakiongozwa na Bakari Mkupa, wamesema tayari wamewasiliana na masoko mengine kuhakikisha hakuna mfanyabiashara atakayeshiriki maandamano hayo.
“Siku hiyo ni ya kazi kama kawaida. Masoko hayatatumika kwa shughuli za kisiasa,” amesema Mkupa.
Hawa wapotoshaji wanatia aibu kwa kukurupuka, hakuna kiongozi wa Chadema aliyeitisha maandamano.Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, inatarajiwa kusikilizwa.
Akizungumza katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Ilala, Makamu Mwenyekiti wa Wajasiriamali Wadogo nchini, Steven Lusinde, amesema wanachama wao wameamua kutumia siku hiyo kwa shughuli za kiuchumi badala ya kushiriki maandamano.
"Hatuko tayari kupoteza muda kwenye maandamano. Tunajitambua na tunathamini kazi zetu za kila siku ambazo zinatuletea riziki na maendeleo," amesema Lusinde.
Lusinde ameongeza kuwa wanapinga vitendo vya uchochezi, na badala yake wanahamasisha amani na utulivu. Pia amekumbusha kauli ya zamani ya mmoja wa viongozi wa CHADEMA aliyewahi kudharau kazi ya bodaboda kwa kusema ni 'kazi ya laana, jambo ambalo bado halijapokewa vizuri na wahusika.
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Shirikisho la Maofisa Wasafirishaji nchini, Said Kagomba, amethibitisha kuwa wamepata taarifa za maandamano kupitia vyombo vya habari, lakini hawatashiriki. Ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kuhakikisha amani inadumishwa.
View attachment 3311038
Chanzo: Nipashe
Wewe na huyo Lema mlisema bodaboda wamelaaniwa. Nyumbu kwa usahaulifu hovyo sana. Leo mnawaona wanafaa kuandamana.Hivi hao ni Bodaboda au mbogamboga?