PreGE2025 Bodaboda, Bajaji na Wajasiriamali Dar wagomea maandamano CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, inatarajiwa kusikilizwa.

Akizungumza katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Ilala, Makamu Mwenyekiti wa Wajasiriamali Wadogo nchini, Steven Lusinde, amesema wanachama wao wameamua kutumia siku hiyo kwa shughuli za kiuchumi badala ya kushiriki maandamano.

"Hatuko tayari kupoteza muda kwenye maandamano. Tunajitambua na tunathamini kazi zetu za kila siku ambazo zinatuletea riziki na maendeleo," amesema Lusinde.

Lusinde ameongeza kuwa wanapinga vitendo vya uchochezi, na badala yake wanahamasisha amani na utulivu. Pia amekumbusha kauli ya zamani ya mmoja wa viongozi wa CHADEMA aliyewahi kudharau kazi ya bodaboda kwa kusema ni 'kazi ya laana, jambo ambalo bado halijapokewa vizuri na wahusika.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Shirikisho la Maofisa Wasafirishaji nchini, Said Kagomba, amethibitisha kuwa wamepata taarifa za maandamano kupitia vyombo vya habari, lakini hawatashiriki. Ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kuhakikisha amani inadumishwa.
View attachment 3311038
Chanzo: Nipashe

Mleta mada na hao uliowahoni, ninyi nyote vichwa vyenu vimeyumba!!

Hivi ni lini CHADEMA ilisema tarehe 24 kuna maandamano? Watu walihamasishwa kwenda kusikiliza kesi ya Tundu Lisu mahakamani, wewe unasema maandamano, una akili wewe?
 
Safi sana maafisa usafirishaji kwa kukataa kujiunga na hiki kikundi cha waleta fujo na wavunjifu wa amani nchini. Hawa ndio walisema kwamba kazi ya bodaboda ni hatari na haina tija alafu leo hii wanataka mushiriki maandamano?
1745239827038.png

Pongezi za dhati kwa maafisa usafirishaji wa kutambua athari za maandamano. Chadema wanataka kuwaingiza kwenye matatizo maana hakuna la maana wanalotaka kusema.

Ndugu zangu Maafisa usafirishaji nyie endeleeni tu na kazi zenu mujiingizie kipato chenu mkuzu uchumi na kusaidia familia zenu, hawa wanaotaka kufanya kama vita waacheni wapambane wenyewe.
 
View attachment 3311062

Safi sana
 
Wewe na huyo Lema mlisema bodaboda wamelaaniwa. Nyumbu kwa usahaulifu hovyo sana. Leo mnawaona wanafaa kuandamana.
Alisema Bodaboda ni kazi ya laana

Do you wish mwanao aje kuwa bodaboda?

Nah I don't think so
 
Lini Chadema walisema wanaandamana?

Lini Chadema waliwaomba bodaboda waandamane?

Kweli CCM mmekosa akili. Ndo maigizo gani haya mnaigiza?
 
Ccm mwaka huu ina kazi ngumu sana kwani kulikuwa na haja gani kunywesha watu konyagi mwitu kisha kuja kujibu hoja isiyohitaji hayo majibu? Mbona mtatepeta mapema au ndo akili za babu wa Gombe?
 
Mapambano Kati ya Ustaarabu (wasomi) na wakuda (ujima). This is real
Sisi ambao sio wasomi ndio majority.Reformists ni genge la wachache tu.Wengi wao ni ma jobless watafuta ajira.Wako bitter wanataka mageuzi wakidhani watafaidika.Tatizo kubwa la reformists wanadhani wana monopoly kwenye siasa za Nchii.My way or the highway.Siasa sio ghadhabu tu ni give and take.Huwezi kuja na madai nifanyiwe hivi au nasusa. NI compromise.You get some you miss some.
 
Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, inatarajiwa kusikilizwa.

Akizungumza katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Ilala, Makamu Mwenyekiti wa Wajasiriamali Wadogo nchini, Steven Lusinde, amesema wanachama wao wameamua kutumia siku hiyo kwa shughuli za kiuchumi badala ya kushiriki maandamano.

"Hatuko tayari kupoteza muda kwenye maandamano. Tunajitambua na tunathamini kazi zetu za kila siku ambazo zinatuletea riziki na maendeleo," amesema Lusinde.

Lusinde ameongeza kuwa wanapinga vitendo vya uchochezi, na badala yake wanahamasisha amani na utulivu. Pia amekumbusha kauli ya zamani ya mmoja wa viongozi wa CHADEMA aliyewahi kudharau kazi ya bodaboda kwa kusema ni 'kazi ya laana, jambo ambalo bado halijapokewa vizuri na wahusika.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Shirikisho la Maofisa Wasafirishaji nchini, Said Kagomba, amethibitisha kuwa wamepata taarifa za maandamano kupitia vyombo vya habari, lakini hawatashiriki. Ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kuhakikisha amani inadumishwa.
View attachment 3311057
Nani aliwaomba?! Nani anawahitaji? Wakati CDM ikiendelea na mikutani yake hadi Lisu kukamatwa bidabida walikuwa na role gani? Tusichoshane.
 
Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, inatarajiwa kusikilizwa.

Akizungumza katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Ilala, Makamu Mwenyekiti wa Wajasiriamali Wadogo nchini, Steven Lusinde, amesema wanachama wao wameamua kutumia siku hiyo kwa shughuli za kiuchumi badala ya kushiriki maandamano.

"Hatuko tayari kupoteza muda kwenye maandamano. Tunajitambua na tunathamini kazi zetu za kila siku ambazo zinatuletea riziki na maendeleo," amesema Lusinde.

Lusinde ameongeza kuwa wanapinga vitendo vya uchochezi, na badala yake wanahamasisha amani na utulivu. Pia amekumbusha kauli ya zamani ya mmoja wa viongozi wa CHADEMA aliyewahi kudharau kazi ya bodaboda kwa kusema ni 'kazi ya laana, jambo ambalo bado halijapokewa vizuri na wahusika.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Shirikisho la Maofisa Wasafirishaji nchini, Said Kagomba, amethibitisha kuwa wamepata taarifa za maandamano kupitia vyombo vya habari, lakini hawatashiriki. Ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kuhakikisha amani inadumishwa.
View attachment 3311057
Wote ni matako kabisa, mbona chadema hawajitisha maandamano
 
Hao vibaka nao waache kuwashwa washwa kwani nani amewaambia waandamane? Chadema imewataka wanachama wao waende kuhudhuria kesi ya mwenyekiti wao.CCM inapenda kujidhalilisha kwa mambo ya kijinga kama haya.
 
Kwani we unaona Bodaboda na Bajaji wana akili timamu?
Washazoea kutumikia milataba.
 
Back
Top Bottom