Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, inatarajiwa kusikilizwa.
Akizungumza katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Ilala, Makamu Mwenyekiti wa Wajasiriamali Wadogo nchini, Steven Lusinde, amesema wanachama wao wameamua kutumia siku hiyo kwa shughuli za kiuchumi badala ya kushiriki maandamano.
"Hatuko tayari kupoteza muda kwenye maandamano. Tunajitambua na tunathamini kazi zetu za kila siku ambazo zinatuletea riziki na maendeleo," amesema Lusinde.
Lusinde ameongeza kuwa wanapinga vitendo vya uchochezi, na badala yake wanahamasisha amani na utulivu. Pia amekumbusha kauli ya zamani ya mmoja wa viongozi wa CHADEMA aliyewahi kudharau kazi ya bodaboda kwa kusema ni 'kazi ya laana, jambo ambalo bado halijapokewa vizuri na wahusika.
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Shirikisho la Maofisa Wasafirishaji nchini, Said Kagomba, amethibitisha kuwa wamepata taarifa za maandamano kupitia vyombo vya habari, lakini hawatashiriki. Ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kuhakikisha amani inadumishwa.
View attachment 3311038
Chanzo: Nipashe
Safi sanaSafi sana maafisa usafirishaji kwa kukataa kujiunga na hiki kikundi cha waleta fujo na wavunjifu wa amani nchini. Hawa ndio walisema kwamba kazi ya bodaboda ni hatari na haina tija alafu leo hii wanataka mushiriki maandamano?
View attachment 3311062
Pongezi za dhati kwa maafisa usafirishaji wa kutambua athari za maandamano. Chadema wanataka kuwaingiza kwenye matatizo maana hakuna la maana wanalotaka kusema.
Ndugu zangu Maafisa usafirishaji nyie endeleeni tu na kazi zenu mujiingizie kipato chenu mkuzu uchumi na kusaidia familia zenu, hawa wanaotaka kufanya kama vita waacheni wapambane wenyewe.
Alisema Bodaboda ni kazi ya laanaWewe na huyo Lema mlisema bodaboda wamelaaniwa. Nyumbu kwa usahaulifu hovyo sana. Leo mnawaona wanafaa kuandamana.
Mapambano Kati ya Ustaarabu (wasomi) na wakuda (ujima). This is realWanywa gongo siku hizi ni wajasiriamali ?? CCM ni laana nchi hii.
Sisi ambao sio wasomi ndio majority.Reformists ni genge la wachache tu.Wengi wao ni ma jobless watafuta ajira.Wako bitter wanataka mageuzi wakidhani watafaidika.Tatizo kubwa la reformists wanadhani wana monopoly kwenye siasa za Nchii.My way or the highway.Siasa sio ghadhabu tu ni give and take.Huwezi kuja na madai nifanyiwe hivi au nasusa. NI compromise.You get some you miss some.Mapambano Kati ya Ustaarabu (wasomi) na wakuda (ujima). This is real
Nani aliwaomba?! Nani anawahitaji? Wakati CDM ikiendelea na mikutani yake hadi Lisu kukamatwa bidabida walikuwa na role gani? Tusichoshane.Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, inatarajiwa kusikilizwa.
Akizungumza katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Ilala, Makamu Mwenyekiti wa Wajasiriamali Wadogo nchini, Steven Lusinde, amesema wanachama wao wameamua kutumia siku hiyo kwa shughuli za kiuchumi badala ya kushiriki maandamano.
"Hatuko tayari kupoteza muda kwenye maandamano. Tunajitambua na tunathamini kazi zetu za kila siku ambazo zinatuletea riziki na maendeleo," amesema Lusinde.
Lusinde ameongeza kuwa wanapinga vitendo vya uchochezi, na badala yake wanahamasisha amani na utulivu. Pia amekumbusha kauli ya zamani ya mmoja wa viongozi wa CHADEMA aliyewahi kudharau kazi ya bodaboda kwa kusema ni 'kazi ya laana, jambo ambalo bado halijapokewa vizuri na wahusika.
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Shirikisho la Maofisa Wasafirishaji nchini, Said Kagomba, amethibitisha kuwa wamepata taarifa za maandamano kupitia vyombo vya habari, lakini hawatashiriki. Ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kuhakikisha amani inadumishwa.
View attachment 3311057
Wote ni matako kabisa, mbona chadema hawajitisha maandamanoBaadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, inatarajiwa kusikilizwa.
Akizungumza katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Ilala, Makamu Mwenyekiti wa Wajasiriamali Wadogo nchini, Steven Lusinde, amesema wanachama wao wameamua kutumia siku hiyo kwa shughuli za kiuchumi badala ya kushiriki maandamano.
"Hatuko tayari kupoteza muda kwenye maandamano. Tunajitambua na tunathamini kazi zetu za kila siku ambazo zinatuletea riziki na maendeleo," amesema Lusinde.
Lusinde ameongeza kuwa wanapinga vitendo vya uchochezi, na badala yake wanahamasisha amani na utulivu. Pia amekumbusha kauli ya zamani ya mmoja wa viongozi wa CHADEMA aliyewahi kudharau kazi ya bodaboda kwa kusema ni 'kazi ya laana, jambo ambalo bado halijapokewa vizuri na wahusika.
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Shirikisho la Maofisa Wasafirishaji nchini, Said Kagomba, amethibitisha kuwa wamepata taarifa za maandamano kupitia vyombo vya habari, lakini hawatashiriki. Ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kuhakikisha amani inadumishwa.
View attachment 3311057
KabisaHakuna aliyeitisha maanadamano 24/04/2025.
Hao akili zao zipo kwenye uvungu wa puumbxx zao.
Tukutane kwa court 24/04/2025.
Hao vibaka nao waache kuwashwa washwa kwani nani amewaambia waandamane? Chadema imewataka wanachama wao waende kuhudhuria kesi ya mwenyekiti wao.CCM inapenda kujidhalilisha kwa mambo ya kijinga kama haya.Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, inatarajiwa kusikilizwa.