KERO Bodaboda kuvamia barabara za mwendokasi imekuwa kero, wanafanya ajali zisiishe

KERO Bodaboda kuvamia barabara za mwendokasi imekuwa kero, wanafanya ajali zisiishe

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kwani we umeona hii mamlaka inachoweza hasa ni nini?

Ila siwasemi vibaya kwa sababu wao ni sehemu ya mtanzania, na hii ndio tabia ya mtanzania, ana uwezo mdogo sana.
Aisee umefunga kilakitu kwenye hii mada.... watanzania uwezo wa kufikiri upo chini sana
 
Kama Serikali inashindwa kusimamia utaratibu mdogo kama hivi wataweza kusimamia kipi sasa,?

Sasa mzee hapo tatizo ni watu au serikali?

Hao bodaboda si wanajua kuwa matumizi ya BRT ni kinyume cha taratibu za matumizi ya barabara?

Wakati mwingine sisi wabongo tunafanya upumbavu wenyewe...

Hao jamaa huwa wanawekewa hadi yale machuma yenye misumari lakini utaona wanavyohangaika kutafuta njia mbadala...
 
Back
Top Bottom