PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 14,521 Reaction score 46,663 Sep 17, 2025 #21 ERoni said: Kwani we umeona hii mamlaka inachoweza hasa ni nini? Ila siwasemi vibaya kwa sababu wao ni sehemu ya mtanzania, na hii ndio tabia ya mtanzania, ana uwezo mdogo sana. Click to expand... Aisee umefunga kilakitu kwenye hii mada.... watanzania uwezo wa kufikiri upo chini sana
ERoni said: Kwani we umeona hii mamlaka inachoweza hasa ni nini? Ila siwasemi vibaya kwa sababu wao ni sehemu ya mtanzania, na hii ndio tabia ya mtanzania, ana uwezo mdogo sana. Click to expand... Aisee umefunga kilakitu kwenye hii mada.... watanzania uwezo wa kufikiri upo chini sana
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 21,387 Reaction score 44,030 Sep 17, 2025 #22 PureView zeiss said: Aisee umefunga kilakitu kwenye hii mada.... watanzania uwezo wa kufikiri upo chini sana Click to expand... Wewe ni mrundi?
PureView zeiss said: Aisee umefunga kilakitu kwenye hii mada.... watanzania uwezo wa kufikiri upo chini sana Click to expand... Wewe ni mrundi?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,270 Reaction score 111,361 Sep 17, 2025 #23 heartbeats said: Kama Serikali inashindwa kusimamia utaratibu mdogo kama hivi wataweza kusimamia kipi sasa,? Click to expand... Sasa mzee hapo tatizo ni watu au serikali? Hao bodaboda si wanajua kuwa matumizi ya BRT ni kinyume cha taratibu za matumizi ya barabara? Wakati mwingine sisi wabongo tunafanya upumbavu wenyewe... Hao jamaa huwa wanawekewa hadi yale machuma yenye misumari lakini utaona wanavyohangaika kutafuta njia mbadala...
heartbeats said: Kama Serikali inashindwa kusimamia utaratibu mdogo kama hivi wataweza kusimamia kipi sasa,? Click to expand... Sasa mzee hapo tatizo ni watu au serikali? Hao bodaboda si wanajua kuwa matumizi ya BRT ni kinyume cha taratibu za matumizi ya barabara? Wakati mwingine sisi wabongo tunafanya upumbavu wenyewe... Hao jamaa huwa wanawekewa hadi yale machuma yenye misumari lakini utaona wanavyohangaika kutafuta njia mbadala...
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Sep 17, 2025 #24 Hatari sana... Cc: Mahondaw
T Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 8,472 Reaction score 17,249 Sep 17, 2025 #25 Hawa jamaa hawafai… Your browser is not able to display this video.