PostGE2025 Bodaboda Makete wamtimua aliyekuja kuwashawishi waandamane Disemba 9

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga amesema madereva bodaboda wilayani Makete hususan Makete mjini walimtimua mtu aliyekuwa amekuja kwao kwa ajili ya kuwashawishi waandamane Desemba 9, 2025

Akizungumza na waendesha bodaboda mjini Makambako hivi karibuni, Kamanda huyo amesema madereva bodaboda hao wa Makete waliamua kumsindikiza mtu huyo mpaka eneo la Kitulo na wakamtaka arudi alikotoka.

Why bodaboda only?
 
Mbogamboga hamna akili
 
Bongo movie zimeanza😂😂😂😂
 
Hawajamaa akili hawana,cheap intelligence unaleta kwa watu wenye akili kubwa,unatengeneza scene na unajicheka,unautimamu kichwani
 
Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga amesema madereva bodaboda wilayani Makete hususan Makete mjini walimtimua mtu aliyekuwa amekuja kwao kwa ajili ya kuwashawishi waandamane Desemba 9, 2025

Akizungumza na waendesha bodaboda mjini Makambako hivi karibuni, Kamanda huyo amesema madereva bodaboda hao wa Makete waliamua kumsindikiza mtu huyo mpaka eneo la Kitulo na wakamtaka arudi alikotoka.

downloadfile.gif
 
Úwooooongo, wasubiri Dec 9
 
Kwamba kamanda alipata taarifa hizi bado akamuachia huru au amemkamata?
Inachekesha sana.
 
Back
Top Bottom