PostGE2025 Bodaboda Makete wamtimua aliyekuja kuwashawishi waandamane Disemba 9

PostGE2025 Bodaboda Makete wamtimua aliyekuja kuwashawishi waandamane Disemba 9

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwani bodaboda ndo nani nchi hii kiasi cha kuhongwa ili Maandamano tasitokee.

Kwamba bila wao Maandamano hayatatokea?

Bodaboda nisameheni kama nimewagusa kimtindo.
 
Acha waendelee kujifariji tu, wasipo kalia msumari hiyo siku basi watakula bakora za makalio.
 
Hizi ni propaganda zakis3ng3 sana

Tukutane D9
 
Polisi Tz - Nawaombea muendelee kuishi maisha magumuuuuu sana kuliko sasa mpaka akili itie akili.

Hamjihurumii
Mtaunganishwa ICC shauri yenu
 
😁😁😁😁 Jinga sana

Propaganda za kizamani sana hizo

Hao boda boda why Hawa kumpeleka police mtu huyo !?
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuwafata watu kwny vijiwe vya bodaboda kuwashawishi waandamane tena hadharan kwmb yeye hajui kuna masnitch kibao humo vjiweni hz propaganda znazihirisha wazi tuna majitu majinga sn kwny kila taasisi ya serikali.
 
Back
Top Bottom