Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Why bodaboda only?Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga amesema madereva bodaboda wilayani Makete hususan Makete mjini walimtimua mtu aliyekuwa amekuja kwao kwa ajili ya kuwashawishi waandamane Desemba 9, 2025
Akizungumza na waendesha bodaboda mjini Makambako hivi karibuni, Kamanda huyo amesema madereva bodaboda hao wa Makete waliamua kumsindikiza mtu huyo mpaka eneo la Kitulo na wakamtaka arudi alikotoka.
Mbogamboga hamna akiliKamanda wa polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga amesema madereva bodaboda wilayani Makete hususan Makete mjini walimtimua mtu aliyekuwa amekuja kwao kwa ajili ya kuwashawishi waandamane Desemba 9, 2025
Akizungumza na waendesha bodaboda mjini Makambako hivi karibuni, Kamanda huyo amesema madereva bodaboda hao wa Makete waliamua kumsindikiza mtu huyo mpaka eneo la Kitulo na wakamtaka arudi alikotoka.
Bongo movie zimeanza😂😂😂😂Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga amesema madereva bodaboda wilayani Makete hususan Makete mjini walimtimua mtu aliyekuwa amekuja kwao kwa ajili ya kuwashawishi waandamane Desemba 9, 2025
Akizungumza na waendesha bodaboda mjini Makambako hivi karibuni, Kamanda huyo amesema madereva bodaboda hao wa Makete waliamua kumsindikiza mtu huyo mpaka eneo la Kitulo na wakamtaka arudi alikotoka.
Low IQ. Easy to manipulate!Why bodaboda only?
We Mzee natumai utakuwa una andamana ukiwa apa jukwaaniLow IQ. Easy to manipulate!
Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga amesema madereva bodaboda wilayani Makete hususan Makete mjini walimtimua mtu aliyekuwa amekuja kwao kwa ajili ya kuwashawishi waandamane Desemba 9, 2025
Akizungumza na waendesha bodaboda mjini Makambako hivi karibuni, Kamanda huyo amesema madereva bodaboda hao wa Makete waliamua kumsindikiza mtu huyo mpaka eneo la Kitulo na wakamtaka arudi alikotoka.
Úwooooongo, wasubiri Dec 9Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga amesema madereva bodaboda wilayani Makete hususan Makete mjini walimtimua mtu aliyekuwa amekuja kwao kwa ajili ya kuwashawishi waandamane Desemba 9, 2025
Akizungumza na waendesha bodaboda mjini Makambako hivi karibuni, Kamanda huyo amesema madereva bodaboda hao wa Makete waliamua kumsindikiza mtu huyo mpaka eneo la Kitulo na wakamtaka arudi alikotoka.
Tena ni chai isiyokuwa na kitafunwa. Anatufanya sisi kuwa manyani.Chai