Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Wanakatazwa kila siku, si polisi na hata Wizara na UDART.
Leo bodaboda mkaidi kaingia njia ya mwendokasi na kuishia kugongwa na kuburuzwa hadi pikipiki ikawaka moto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu kasimama kabisa anajielewa halafu unasema hawezi kupina , daahIla wabongo eti hawezi kuponaa 😂😂
Kuna jamaa mmoja maeneo ya Kigoma, alikuwa anamtabiria mwenzie hivihivi(alikuwa anamshindia kwa walozi), akikaa baa:"Yule jamaa nawapa miezi sita hayupo duniani", matokeo akafa yeye! Ilikuwa kichekesho kweli!Ila wabongo eti hawezi kuponaa 😂😂
Na wewe itumie hiyo baarabara ili tujue ulivyopangiwa ulivyozaliwa.Alipangiwa atapata iyo ajali pinditu alipozaliwa. Jiulize mara ngapi katumia iyo barabara ya mwendokasi na ajapata ajali? Na bodaboda wangapi wanatumia iyo njia na hawapati ajali?
Kama nimepangiwa nitaitumia. Na kama sijapangiwa sitaitumia. Hata hivi ulivonijibu comment yangu nami navyokujibu comment yako ilishapangwa itakuwa hivyoNa wewe itumie hiyo baarabara ili tujue ulivyopangiwa ulivyozaliwa.
Ukigongwa ndio tutajua.
Sasa hebu nakuomba harakisha siku yako ukae pale mwendokasi, kwa nini kuachia fursa uliyoandikiwa?Kama nimepangiwa nitaitumia. Na kama sijapangiwa sitaitumia. Hata hivi ulivonijibu comment yangu nami navyokujibu comment yako ilishapangwa itakuwa hivyo
Acha kuifunga akili yako wewe kwa hiyo sasa hivi ukianza kutatuliwa marinda utasema umepangiwa kutatuliwa na kwamba ukiombwa kushika ukuta utashika kama umepangiwa? hebu ondoa hao wadudu kichwani ili uwe na maamuzi sahihi na siyo kufanya upuzi kisa umepangiwa sijui na nani.Kama nimepangiwa nitaitumia. Na kama sijapangiwa sitaitumia. Hata hivi ulivonijibu comment yangu nami navyokujibu comment yako ilishapangwa itakuwa hivyo
Wee vipi kama imepangwa nitaenda nakujikuta nakaa hapo mwendokasi. Na kama haijapangwa hata nifanyaje siwezi kwenda kaaSasa hebu nakuomba harakisha siku yako ukae pale mwendokasi, kwa nini kuachia fursa uliyoandikiwa?
Haijapangwa sasa ndo maana kamwe haitatokea. Weee vipi?Acha kuifunga akili yako wewe kwa hiyo sasa hivi ukianza kutatuliwa marinda utasema umepangiwa kutatuliwa na kwamba ukiombwa kushika ukuta utashika kama umepangiwa? hebu ondoa hao wadudu kichwani ili uwe na maamuzi sahihi na siyo kufanya upuzi kisa umepangiwa sijui na nani.
Hata wakigongwa hawahurumiwi, maana wametaka iwe hivyo.Bodaboda ni kundi la Kwaajili ya mtaji WA wanasiasa wamepewa kiburi cha kufanya lolote barabarani.
FINE zao ni TSH 10,000 Tu hiyo yote ni kuwajaza ujinga vichwani mwao, bodaboda ni Kero kubwa Sana Kwa madereva wenzao WA magari
Huu mtazamo wako ni moja mitizamo ya hovyo yenye kuakisi ujinga wa muhusika.Alipangiwa atapata iyo ajali pinditu alipozaliwa. Jiulize mara ngapi katumia iyo barabara ya mwendokasi na ajapata ajali? Na bodaboda wangapi wanatumia iyo njia na hawapati ajali?