View attachment 2120053
Wanakatazwa kila siku, si polisi na hata Wizara na UDART.
Leo bodaboda mkaidi kaingia njia ya mwendokasi na kuishia kugongwa na kuburuzwa hadi pikipiki ikawaka moto.
Viroba vilikuwa vifungashio tu. Sasa hivi kinywaji kipo kwenye chupa za plastic #shimhwaNilifikiri viroba kuzuiwa ingesaidia kidogo hawa jamaa zetu wa bodaboda kumbe hamna kitu.
we jamaa una akili za kimasikini sana yani usifate sheria then usingizie kuwa mipango ya munguKama nimepangiwa nitaitumia. Na kama sijapangiwa sitaitumia. Hata hivi ulivonijibu comment yangu nami navyokujibu comment yako ilishapangwa itakuwa hivyo
Kuna mwizi kabla ya kutoa hukumu hua wanapewa nafasi ya ombi la kujitetea na "wengi huaomba wapunguziwe adhabu kwa sababu ana familia inamtegemea"we jamaa una akili za kimasikini sana yani usifate sheria then usingizie kuwa mipango ya mungu
Alipangiwa atapata hiyo ajali pinditu alipozaliwa. Jiulize mara ngapi katumia iyo barabara ya mwendokasi na ajapata ajali? Na bodaboda wangapi wanatumia iyo njia na hawapati ajali?
Haaa haaa, mkuu wewe unafuata stoicism school of thought?Wee vipi kama imepangwa nitaenda nakujikuta nakaa hapo mwendokasi. Na kama haijapangwa hata nifanyaje siwezi kwenda kaa