Chendembe
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 444
- 488
Malalamiko ya wamiliki wa bodaboda/pikipiki yamezoeleka masikioni mwetu na kupelekea hali inayoendelea Sasa hata JamiiForums kuona hakuna sababu ya kuliongelea tena.
Mimi nimeona nisichoke katika hili. Wabunge ni walewale, viongozi ni walele na Sheria ni zilezile.
Najiuliza shangwe zile za wabunge wetu na bodaboda zimepotelea wapi, sipati majawabu.
Kukiwa na tukio la uhalifu lililo husu bodaboda, basi wenzetu wanakuwa wamepata sababu ya kukusanya boda Bila mahalifa. Mbaya zaidi inakuwa chanzo Cha mapato.
Niseme tu adhabu/faini ile iliyoshangiliwa si chochote kwa Sasa. Msako ukikupitia, jiandae kuchanjwa kivyako na Bila risiti.
Nadhani wengi tunaona malundo ya pikipiki vituoni.
Tafadhali viongozi watambue kuwa PIKIPIKI ni mkombozi wa wananchi kwa Sasa. Zinasafirisha wagonjwa haraka, zinasafiri maiti huko vijijini, na zinaharakisha huduma mbalimbali.
Naomba tuziheshimu na kuzilinda. Tusisubiri wakati wa uchaguzi tuu.
Ni hayo tuuu