Bodaboda vs Polisi: Sikio la kufa halisikii dawa

Bodaboda vs Polisi: Sikio la kufa halisikii dawa

Katika watu wanaodekezwa sana na polisi ni watu wa bodaboda wahalifu wengi wamejificha kwenye bodaboda, sheria za usalama barabarani hawafati hata kidogo ni vyanzo vya ajali nenda kwenye traffic lights uone wanavyopita ndo utajua wanadekezwa
 
Watu mnazziba barabara na kukamata Kila pikipiki inayopita bila kuangalia athali za kijamii zinazopatikana na mkikamata lazima mtoze pesa Kila pikipiki. Dhuluma haimwachi mtu salaamaa. Ndio sababu mkistaafu mnakuwa matahaira.
Na reo tupo raundabaut ya bahi rod, tutarikamata ripikipiki rako kama turivofanya last week mpaka urikatie bima na uweke site mirros
 
Katika watu wanaodekezwa sana na polisi ni watu wa bodaboda wahalifu wengi wamejificha kwenye bodaboda, sheria za usalama barabarani hawafati hata kidogo ni vyanzo vya ajali nenda kwenye traffic lights uone wanavyopita ndo utajua wanadekezwa
Wala polisi hawaangaiki nao
 
Back
Top Bottom