Bodaboda wanatuchunguza na kutujadili sana. Be warned

Halafu sasa kinachowafanya bodaboda kuwa wambea ni kwa kuwa kilinge bila story siku inakua ndefu so wanakua na mambo kuchagiza story na ndiyo hapo siri za wateja wao zinavuja
 
Sio dar tu hata mikoani
 
Acha mazoea na mtu uliyemzidi Kwa hatua yoyote Ile.

Jifunze kua na Siri hata Kwa rafiki wa karibu, Epuka au punguza kukutana na wafanyakazi wenzako hasa wakati wa jioni
You will be invisible
Hii ni tabia yangu kabisa
 
Aisee! Kwanza nilishangaa kilichomuwasha kuanza kumsimulia mamsapu wangu mambo ya kiume kwa jinsia KE.
Hilo nalo ni DOA Kwa mamsapu, inakuwaje akubaliane na umbea uchara!? Yeye alikuwa na stori Gani hadi mazungumzo yakaanza ya umbea!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…