Bodaboda wanauwawa kwa wingi ARUSHA JIJI, Jeshi la Polisi Lipo

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Kila Kukicha Jijini Arusha ,uhalifu unazidi kuongezeka.

Kwa Bodaboda, maisha yao uanabadilika Kila baada ya Dakika Kadhaa.

Aina ya Mauaji ni ileile

Kukatwa Shingo
Kutobolewa Macho.

Ikimaanisha kua, Wauaji ni wale wale katika Matukio tofautitifauti.

Ajabu ni kua, KATAMBI YUKO OFISINI , anashughulikia mambo yasio ya maana

Anaongoza Wizara ambayo Ina Bajeti kuuuuuubwa,ila Kupambana na Wahalifu wa Jiji la Arusha , imekua shida.

Nimekua nagusia mara nyingi, POLISI WAACHE UTEKAJI, WAKAMATE WATU KWA MUJIBU WA PGO.

Utekaji wa Polisi, unaacha Shimo ambalo Wahalifu wanalitumia, Bodaboda Anapoteza siku Mbili tatu, Watu WANAHISI Katekwa na Polisi, kumbe Wahalifu Wameamua na Kuchukua Pikipiki.!.

Ukisoma visa vya Mauaji yanayoendelea kwa Boda Boda ARUSHA JIJI kwa miezi kadhaa sasa, utahitimisha kwa kusema "Tuna Jeshi la Kipuuzi ,kazi yao Kutumia RASIMALI Fedha na Watu, Kupambana na CHADEMA ".
 
ok. :1Head:
 
Kigezo gani kinatumika kuifanya Arusha kuitwa Jiji?
 
Hiyo kanda nzima ya kaskazini sio mchezo matukio yanatisha hasa ya hao boda wiki mbili zilizopita mdogo wangu bahati yake alinyweshwa madawa ya kulevya napikipiki ikaenda ivyo cha maana uhai bado Yuko nao ila matukio kule yanatisha
 
Kila Kukicha Jijini Arusha ,uhalifu unazidi kuongezeka.

Kwa Bodaboda, maisha yao uanabadilika Kila baada ya Dakika Kadhaa.

Aina ya Mauaji ni ileile

Kukatwa Shingo
Kutobolewa Macho.

Ikimaanisha kua, Wauaji ni wale wale katika Matukio tofautitifauti.

Ajabu ni kua, KATAMBI YUKO OFISINI , anashughulikia mambo yasio ya maana

Anaongoza Wizara ambayo Ina Bajeti kuuuuuubwa,ila Kupambana na Wahalifu wa Jiji la Arusha , imekua shida.

Nimekua nagusia mara nyingi, POLISI WAACHE UTEKAJI, WAKAMATE WATU KWA MUJIBU WA PGO.

Utekaji wa Polisi, unaacha Shimo ambalo Wahalifu wanalitumia, Bodaboda Anapoteza siku Mbili tatu, Watu WANAHISI Katekwa na Polisi, kumbe Wahalifu Wameamua na Kuchukua Pikipiki.!.

Ukisoma visa vya Mauaji yanayoendelea kwa Boda Boda ARUSHA JIJI kwa miezi kadhaa sasa, utahitimisha kwa kusema "Tuna Jeshi la Kipuuzi ,kazi yao Kutumia RASIMALI Fedha na Watu, Kupambana na CHADEMA ".
Tatizo hawa mapanya wanazungukana menyewe kwa menyewe, wahuni hao.
 
Arusha boda boda wengi usiku wanaopakia kutoka kwenye vituo vyao vya mchana hao kutoka bar za kuokotana usiku wengi wezi wapanda boda usiku kwa watu wasiowajua ni hatari sana..
 
Ndugu yangu ikiwa matendo ya ni kuuwa na kutoboa Macho
Bodaboda

Niamini tu Polisi wanafanya kazi yao kwa weledi mkubwa ayo maeneo
Ndiomana usikii yoyote kukamatwa kufikishwa
Mahakamani

Matendo ya kikatili kama ayo Polisi hawana sababu ya kukutunza Maabusu
Wanafekwa kimya kimya mpaka utoyasikia ayo matendo maeneo ya Arusha

viamini vyombo vya Usalama uyo mwehu mwenye kutoa Macho atafikiwa tu

Maeneo mengi mikoa mingine kulikuwa na matendo yakufanania
leo uyasikii tena na Arusha ni swala la muda tu yatakoma✍️
 
Nasikia RCO wa Chuga ni mtoto wa Mahita ni kweli?
 
Kila Kukicha Jijini Arusha ,uhalifu unazidi kuongezeka.

Kwa Bodaboda, maisha yao uanabadilika Kila baada ya Dakika Kadhaa.

Aina ya Mauaji ni ileile

Kukatwa Shingo
Kutobolewa Macho.

Ikimaanisha kua, Wauaji ni wale wale katika Matukio tofautitifauti.

Ajabu ni kua, KATAMBI YUKO OFISINI , anashughulikia mambo yasio ya maana

Anaongoza Wizara ambayo Ina Bajeti kuuuuuubwa,ila Kupambana na Wahalifu wa Jiji la Arusha , imekua shida.

Nimekua nagusia mara nyingi, POLISI WAACHE UTEKAJI, WAKAMATE WATU KWA MUJIBU WA PGO.

Utekaji wa Polisi, unaacha Shimo ambalo Wahalifu wanalitumia, Bodaboda Anapoteza siku Mbili tatu, Watu WANAHISI Katekwa na Polisi, kumbe Wahalifu Wameamua na Kuchukua Pikipiki.!.

Ukisoma visa vya Mauaji yanayoendelea kwa Boda Boda ARUSHA JIJI kwa miezi kadhaa sasa, utahitimisha kwa kusema "Tuna Jeshi la Kipuuzi ,kazi yao Kutumia RASIMALI Fedha na Watu, Kupambana na CHADEMA ".
Hali ni mbaya.
 
Back
Top Bottom