Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
ok.Kila Kukicha Jijini Arusha ,uhalifu unazidi kuongezeka.
Kwa Bodaboda, maisha yao uanabadilika Kila baada ya Dakika Kadhaa.
Aina ya Mauaji ni ileile
Kukatwa Shingo
Kutobolewa Macho.
Ikimaanisha kua, Wauaji ni wale wale katika Matukio tofautitifauti.
Ajabu ni kua, KATAMBI YUKO OFISINI , anashughulikia mambo yasio ya maana
Anaongoza Wizara ambayo Ina Bajeti kuuuuuubwa,ila Kupambana na Wahalifu wa Jiji la Arusha , imekua shida.
Nimekua nagusia mara nyingi, POLISI WAACHE UTEKAJI, WAKAMATE WATU KWA MUJIBU WA PGO.
Utekaji wa Polisi, unaacha Shimo ambalo Wahalifu wanalitumia, Bodaboda Anapoteza siku Mbili tatu, Watu WANAHISI Katekwa na Polisi, kumbe Wahalifu Wameamua na Kuchukua Pikipiki.!.
Ukisoma visa vya Mauaji yanayoendelea kwa Boda Boda ARUSHA JIJI kwa miezi kadhaa sasa, utahitimisha kwa kusema "Tuna Jeshi la Kipuuzi ,kazi yao Kutumia RASIMALI Fedha na Watu, Kupambana na CHADEMA ".
Kigezo gani kinatumika kuifanya Arusha kuitwa Jiji?Kila Kukicha Jijini Arusha ,uhalifu unazidi kuongezeka.
Kwa Bodaboda, maisha yao uanabadilika Kila baada ya Dakika Kadhaa.
Aina ya Mauaji ni ileile
Kukatwa Shingo
Kutobolewa Macho.
Ikimaanisha kua, Wauaji ni wale wale katika Matukio tofautitifauti.
Ajabu ni kua, KATAMBI YUKO OFISINI , anashughulikia mambo yasio ya maana
Anaongoza Wizara ambayo Ina Bajeti kuuuuuubwa,ila Kupambana na Wahalifu wa Jiji la Arusha , imekua shida.
Nimekua nagusia mara nyingi, POLISI WAACHE UTEKAJI, WAKAMATE WATU KWA MUJIBU WA PGO.
Utekaji wa Polisi, unaacha Shimo ambalo Wahalifu wanalitumia, Bodaboda Anapoteza siku Mbili tatu, Watu WANAHISI Katekwa na Polisi, kumbe Wahalifu Wameamua na Kuchukua Pikipiki.!.
Ukisoma visa vya Mauaji yanayoendelea kwa Boda Boda ARUSHA JIJI kwa miezi kadhaa sasa, utahitimisha kwa kusema "Tuna Jeshi la Kipuuzi ,kazi yao Kutumia RASIMALI Fedha na Watu, Kupambana na CHADEMA ".
Tatizo hawa mapanya wanazungukana menyewe kwa menyewe, wahuni hao.Kila Kukicha Jijini Arusha ,uhalifu unazidi kuongezeka.
Kwa Bodaboda, maisha yao uanabadilika Kila baada ya Dakika Kadhaa.
Aina ya Mauaji ni ileile
Kukatwa Shingo
Kutobolewa Macho.
Ikimaanisha kua, Wauaji ni wale wale katika Matukio tofautitifauti.
Ajabu ni kua, KATAMBI YUKO OFISINI , anashughulikia mambo yasio ya maana
Anaongoza Wizara ambayo Ina Bajeti kuuuuuubwa,ila Kupambana na Wahalifu wa Jiji la Arusha , imekua shida.
Nimekua nagusia mara nyingi, POLISI WAACHE UTEKAJI, WAKAMATE WATU KWA MUJIBU WA PGO.
Utekaji wa Polisi, unaacha Shimo ambalo Wahalifu wanalitumia, Bodaboda Anapoteza siku Mbili tatu, Watu WANAHISI Katekwa na Polisi, kumbe Wahalifu Wameamua na Kuchukua Pikipiki.!.
Ukisoma visa vya Mauaji yanayoendelea kwa Boda Boda ARUSHA JIJI kwa miezi kadhaa sasa, utahitimisha kwa kusema "Tuna Jeshi la Kipuuzi ,kazi yao Kutumia RASIMALI Fedha na Watu, Kupambana na CHADEMA ".
Hali ni mbaya.Kila Kukicha Jijini Arusha ,uhalifu unazidi kuongezeka.