Bodaboda wapo tayari Kwa maandamano 7 April, 2026

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Baada ya kupanda bei ya mafuta kutoka 3000 hadi 4000

Nchi hii ina vijana zaidi ya milion 15 waliojiijiri katika shughuli za bodaboda.

Mliwaaminisha bodaboda ni kazi rasmi na ajira Leo wapo vijiweni wanaliwa na njaa

Mliwatumia vya kutosha kwenye kampeni zenu kunogesha misafara, Leo mmewatelekeza na bei mlima ya petroleum

Bodaboda wamekata tamaa

Hesabu ya matajiri haikamatiki

Mabosi wanachukua pikipiki zao

Abiria hawafiki bei ya nauli mpya

Hali ni mbaya mno

Simlisema Amani ni muhimu kuliko haki
 
3f3f9eb4-647a-46da-afbb-1b6d28c9bcc6.jpeg
 
Kabla ya kukurupuka , kupanda Kwa mafuta sio kosa la serikali ya Tanzania,ni ujinga alna makosa ya serikali ya Amerika na hii inaathiri Dunia nzima sio Tanzania tu
 
sio janga la dunia ni upumbavu wa viongoz wetu kutofikiria ya mbele mbona tuna bomba la mafuta ghafi toka uganda hy mitako inawaza uteuz uchaguz hakuna kitu kichwani misenge sana hy miviongoz aaamen......alisikika mla ndumu mmoja kutoka goba
 
Kabla ya kukurupuka , kupanda Kwa mafuta sio kosa la serikali ya Tanzania,ni ujinga alna makosa ya serikali ya Amerika na hii inaathiri Dunia nzima sio Tanzania tu
Na report ya CAG je? Madudu yote Yale nayo yamesababishwa na America?
Mnajiteteaha kitoto sana nyie
 
Back
Top Bottom