Bodaboda wapo tayari Kwa maandamano 7 April, 2026

Bodaboda wapo tayari Kwa maandamano 7 April, 2026

Pakini magari watu watumie miguu tu

Ova
 
Na report ya CAG je? Madudu yote Yale nayo yamesababishwa na America?
Mnajiteteaha kitoto sana nyie
Aya madudu ya cag yanahusiana vipi na bei ya mafuta? Mafuta yanaagizwa kutoka Mashariki ya kati na Kuna shida ya njia kufungwa.
 
Back
Top Bottom