Kabla ya kukurupuka , kupanda Kwa mafuta sio kosa la serikali ya Tanzania,ni ujinga alna makosa ya serikali ya Amerika na hii inaathiri Dunia nzima sio Tanzania tuBaada ya kupanda bei ya mafuta kutoka 3000 hadi 4000
Nchi hii ina vijana zaidi ya milion 15 waliojiijiri katika shughuli za bodaboda.
Mliwaaminisha bodaboda ni kazi rasmi na ajira Leo wapo vijiweni wanaliwa na njaa
Mliwatumia vya kutosha kwenye kampeni zenu kunogesha misafara, Leo mmewatelekeza na bei mlima ya petroleum
Bodaboda wamekata tamaa
Hesabu ya matajiri haikamatiki
Mabosi wanachukua pikipiki zao
Abiria hawafiki bei ya nauli mpya
Hali ni mbaya mno
Simlisema Amani ni muhimu kuliko haki
sio janga la dunia ni upumbavu wa viongoz wetu kutofikiria ya mbele mbona tuna bomba la mafuta ghafi toka uganda hy mitako inawaza uteuz uchaguz hakuna kitu kichwani misenge sana hy miviongoz aaamen......alisikika mla ndumu mmoja kutoka gobaKabla ya kukurupuka , kupanda Kwa mafuta sio kosa la serikali ya Tanzania,ni ujinga alna makosa ya serikali ya Amerika na hii inaathiri Dunia nzima sio Tanzania tu
Wamewajaza ujinga,eti Afisa Msafirishaji. Na dereva Tax ataitwa naniMaafisa usafiri
Acha uoga,embu taja hizo njiaMaandamano si mazuri.
Maandamano si mazuri.
Kwa nchi hii yetu.
Kuna njia nyingi za kufikisha malalamiko na siyo kuandamana.
Naunga mokono hoja muheshimiwa SupikaTena waongeze mafuta ifike lita 1 mpaka 5000
Ova
Pmbavu zako,hii Zanzibar ipo wapiKabla ya kukurupuka , kupanda Kwa mafuta sio kosa la serikali ya Tanzania,ni ujinga alna makosa ya serikali ya Amerika na hii inaathiri Dunia nzima sio Tanzania tu
Na report ya CAG je? Madudu yote Yale nayo yamesababishwa na America?Kabla ya kukurupuka , kupanda Kwa mafuta sio kosa la serikali ya Tanzania,ni ujinga alna makosa ya serikali ya Amerika na hii inaathiri Dunia nzima sio Tanzania tu
Serikali ilituaminisha tuna akiba ya mafuta yatakayotosha mpaka mwezi wa sita, kwanini wapandishe bei saa hizi?Kabla ya kukurupuka , kupanda Kwa mafuta sio kosa la serikali ya Tanzania,ni ujinga alna makosa ya serikali ya Amerika na hii inaathiri Dunia nzima sio Tanzania tu