mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,490 Reaction score 138,365 Apr 2, 2026 #21 Pakini magari watu watumie miguu tu Ova
G guest-1787677395 Guest Apr 2, 2026 #22 Frank Wanjiru said: Pmbavu zako,hii Zanzibar ipo wapi Click to expand... Ya lini hii bei usiwe unachonganisha bosi.
Frank Wanjiru said: Pmbavu zako,hii Zanzibar ipo wapi Click to expand... Ya lini hii bei usiwe unachonganisha bosi.
M Mhung Senior Member Joined Jun 20, 2025 Posts 165 Reaction score 187 Apr 3, 2026 #24 Kinoamiguu said: Na report ya CAG je? Madudu yote Yale nayo yamesababishwa na America? Mnajiteteaha kitoto sana nyie Click to expand... Aya madudu ya cag yanahusiana vipi na bei ya mafuta? Mafuta yanaagizwa kutoka Mashariki ya kati na Kuna shida ya njia kufungwa.
Kinoamiguu said: Na report ya CAG je? Madudu yote Yale nayo yamesababishwa na America? Mnajiteteaha kitoto sana nyie Click to expand... Aya madudu ya cag yanahusiana vipi na bei ya mafuta? Mafuta yanaagizwa kutoka Mashariki ya kati na Kuna shida ya njia kufungwa.
M Mhung Senior Member Joined Jun 20, 2025 Posts 165 Reaction score 187 Apr 3, 2026 #25 Frank Wanjiru said: Pmbavu zako,hii Zanzibar ipo wapi Click to expand... Zanzibar Ina hifadhi ya mafuta yake na bandari yake ya mafuta, bei hupangwa na mamlaka ya udhibiti nishati na maji Zanzibar ZURA.
Frank Wanjiru said: Pmbavu zako,hii Zanzibar ipo wapi Click to expand... Zanzibar Ina hifadhi ya mafuta yake na bandari yake ya mafuta, bei hupangwa na mamlaka ya udhibiti nishati na maji Zanzibar ZURA.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 3, 2026 #26 Hatari sana... Cc: Mahondaw