Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
HUYO DADA ASIACHWE APELEKWE POLISI,WADADA HAWA NDIYO HUTUMWA NA WEZI,KUFANIKISHA ZOEZI.Wamefanya jambo la maana Sana .
Pia huyo dada nae ni muhusika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HUYO DADA ASIACHWE APELEKWE POLISI,WADADA HAWA NDIYO HUTUMWA NA WEZI,KUFANIKISHA ZOEZI.Wamefanya jambo la maana Sana .
Pia huyo dada nae ni muhusika
Uzur boda boda hawajawahi nidissapoint kwenye vitu kama hvi
Bonge atarudi amevaa dela na kujitanda kikoiWanaoweza kufuatilia, watupe updates nini kimemkuta huko bonge
Mob justiceAiseee ila likiwageuka kuna watu watakula mvua au kuhama mtaa kabisa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Thus katoa Hela isiyo na chenjiHUYO DADA ASIACHWE APELEKWE POLISI,WADADA HAWA NDIYO HUTUMWA NA WEZI,KUFANIKISHA ZOEZI.
Uzur boda boda hawajawahi nidissapoint kwenye vitu kama hvi
Everything lay on calculations,akitoa hela kamili,Boda atasepa haraka baada ya kumshusha abiria,lazima atoe hela kubwa ILI pawepo na dakika Fulani za kufanikisha zoezi.Thus katoa Hela isiyo na chenji
Mwaka Jana Kuna dogo wa home boda boda nikituma vitu hua anapokea na kuwapelekea maza na mzee, alikabwa na wahuni wakamuua boda wote wa mitaa ile walisaka taarifa hadi wakampata muhusika Aisee walimuua kikatiliPicha linaanza,wengi wao walikuwa watata/wahuni kabla ya kuwa wahuni
Inauma sana, mtu akiwa hajaibiwa anaweza kuchukulia poa.Kijana mdogo amepambana amejibana amenunua bodaboda yake ili apate kipato halali, Leo unamvamia unamjeruhi?? Laana hii
Mwizi Huwa ni wakala wa shetani uwaza aibe akalewe afanye ngono maisha yasongeKijana mdogo amepambana amejibana amenunua bodaboda yake ili apate kipato halali, Leo unamvamia unamjeruhi?? Laana hii
[emoji23][emoji23]Bonge atarudi amevaa dela na kujitanda kikoi