Bodaboda zinatudhalilisha sema basi tu hatuna jinsi

Umenikumbusha, ni juzi mida ya jioni nipo zangu kituoni ikapita boda nikapiga mkono mana ilikuwa inaelekea uelekeo ninaoenda, nikapanda ile hatujatoka mdada mmoja nae akaja kupanda akanambia "kaka shuka nikae kati unibambie vizuri",,,,,mzigo wa haja alikuwa nao na niliona safari fupi sana.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Utakuwa unaishi Kivule kwenye shida ya usafiri ndo zenu mida ya jioni mnapeana mishkaki pale banana
 
Kuna siku natoka zangu Nkuhungu Dodoma kwenda town tumefika sehemu boda akasimama kumpandisha demu rafiki yake, nikaamua dem akae kati yetu aise yule dada ana tako laini sijawahi kuona, na mimi nikaw namsogelea zaidi

Mwisho. Naunga mkono hoja
 
We jamaa unaonekana unawaza mbali sana
 
Bodaboda bwana, wanaweza kula chipsi kavu wakati kutwa wanapakia mishikaki πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚
 
Nauli zenu ndogo inabidi mpande wa2 km unalipa freshi bila malalamiko unapanda mwenyewe bwn
 
Au km unajipenda sana nunua yakwako yakuendea kazini ,au unasubiri 2050 utakaponunua gazi used ya umemeΒΏ
 
Wapi huko? Kweli Tanzania kubwa sana!
 
Hakuna kitu kinanikera kama boda kuanzisha vijiwe getini kwangu. Yaan ukiacha watoto wenyewe huna amani acha tu
 
Hahaha sio tu mke wa mtu hata mimi nipande katikati tu ya wanaume wawili?never ever ni bora nitembee kwa miguu au nichkue yangu pekepeke
Kwa kifupi siweziiiiiii kabisa
Tupande mimi na wewe tu.
 
Mnasaidiwa halafu mnakuja tena kulalamika .

Lipa nauli kamili kuepuka hizo kero ulizozitaja .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…