Tetesi: Bodi Simba yaridhia kuachana na Robertinho

The Supreme Conqueror

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2017
Posts
458
Reaction score
1,280
1696228710617.jpg

Habari zilizotufikia ni kuwa bodi ya klabu ya Simba imeridhia kuacha na kocha wake Mbrazil Roberto Oliveira 'Robertinho' kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wa timu tangu msimu huu kuanza licha ya kupewa asilimia kubwa ya wachezaji aliowahitaji.

Simba itatangaza uamuzi huo baada ya mechi dhidi ya Tanzania Prisons katika mwendelezo wa ligi kuu NBC Tanzania 🇹🇿

Juma Mgunda ataichukua timu kwa muda huku klabu ikiendelea kutafuta kocha wa kuja kuifundisha klabu hiyo na kumpa malengo yao.
 
Hiyo ndio rangi halisi ya mbumbumbu sposklab.

Kushinda wanashinda ila wako tayari kulipa mamilioni kuachana na kocha. Shida kubwa ni kujikompea na Yanga!!!

Kila kocha ana staili yake muhimu point 3 nyie mbulula
 
Wabongo bana, mtu unashinda kuanzia ngao ya hisani, mechi zote NBC na unafuzu makundi lakini bado Wanataka kukutupia virago, mnataka afanyaje? Mbona Mourinho kwenye mafanikio hakua na pira biriyani?
Huyu kocha tokea mgunda aondoke kwny bench la ufundi amekua anapata matokeo kibahat bahat tu yaan kiufupi ananyota ya kushinda Ila sio kocha mzuri kwahiyo sisi wazaramo wenye simba yetu tokea utoton tunataka ASEPE zake
 
View attachment 2769201

Habari zilizotufikia ni kuwa bodi ya klabu ya Simba imeridhia kuacha na kocha wake Mbrazil Roberto Oliveira 'Robertinho' kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wa timu tangu msimu huu kuanza licha ya kupewa asilimia kubwa ya wachezaji aliowahitaji.

Simba itatangaza uamuzi huo baada ya mechi dhidi ya Tanzania Prisons katika mwendelezo wa ligi kuu NBC Tanzania 🇹🇿

Juma Mgunda ataichukua timu kwa muda huku klabu ikiendelea kutafuta kocha wa kuja kuifundisha klabu hiyo na kumpa malengo yao.
mtafukuza makocha sana
 
Ila Kama taarifa hizi ni za kweli hatutaki kumsikia huyu kocha anatupa vijisababu kuwa alikuwa anapangiwa wachezaji na viongozi.
Ila nafikiri sio sahihi kuachana naye Sasa maana tuna mchezo ngumu wa Africa super league.
 
Back
Top Bottom