Tetesi: Bodi Simba yaridhia kuachana na Robertinho

Tetesi: Bodi Simba yaridhia kuachana na Robertinho

MKUU HUONI AIBU KUANIKA UPU UuuUZI WAKO KWENYE MITANDAO YA KIJAMII????
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Inaonekana huyu kocha anabahati ya kushinda hata kama ni kwa bahati bahati.
Mwacheni, bati lake laini, mvua kubwa za mwanzo zimelinyeshea lakini bado linaibuka kidedea bila kuvuja. Tunaelekea kwny Masika penye mvua za mawe hapo ndo sijui kama hili bati litahimili. Labda bahati ya lenyewe itawale.
 
Mimi ningekuwa J Mgunda,this time nisingekubali kuchukua timu
 
Inchi ngumu hii[emoji848][emoji848][emoji848]
Yani kocha hajapoteza hata mechi moja, kaifikisha timu hatua ya makundi, hakuwahi kupoteza kwa Yanga, lakini anatimuliwa.

Kocha sio mbovu, tatizo ni style yake ya mpira haivutii.
 
Shida sio kushinda mechi.


Shida ipo katika style ya uchezaji haivutii kuangalia.


Watu wanataka waone mpira biriani , vyenga pasi kwa wingi hadi goli linapatikana.


Sio mfumo huu wa butu butu kama chandimu banaaa.


Robertinyoo ni mwiba kwa yanga, Yanga haijawai kumfunga robetinnyo .
 
Kocha anaomba ruhusa arudi course upya...tena aende ulaya mashariki asiende brasil.....mpira africa unakua sanaaa
 
Ila Kama taarifa hizi ni za kweli hatutaki kumsikia huyu kocha anatupa vijisababu kuwa alikuwa anapangiwa wachezaji na viongozi.
Ila nafikiri sio sahihi kuachana naye Sasa maana tuna mchezo ngumu wa Africa super league.
Kama tulipata mchezo mgumu na Dynamos akiwepo unadhani nini kitabadilika wakati wa super cup
 
Huyu kocha tokea mgunda aondoke kwny bench la ufundi amekua anapata matokeo kibahat bahat tu yaan kiufupi ananyota ya kushinda Ila sio kocha mzuri kwahiyo sisi wazaramo wenye simba yetu tokea utoton tunataka ASEPE zake

Kama unauhakika anayo hiyo nyota, acha aendelee kuwepo
 
View attachment 2769201

Habari zilizotufikia ni kuwa bodi ya klabu ya Simba imeridhia kuacha na kocha wake Mbrazil Roberto Oliveira 'Robertinho' kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wa timu tangu msimu huu kuanza licha ya kupewa asilimia kubwa ya wachezaji aliowahitaji.

Simba itatangaza uamuzi huo baada ya mechi dhidi ya Tanzania Prisons katika mwendelezo wa ligi kuu NBC Tanzania 🇹🇿

Juma Mgunda ataichukua timu kwa muda huku klabu ikiendelea kutafuta kocha wa kuja kuifundisha klabu hiyo na kumpa malengo yao.
Smba imchukue Nabi aliyekalia kuti kavu huko aliko!
 
Back
Top Bottom