CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
MKUU HUONI AIBU KUANIKA UPU UuuUZI WAKO KWENYE MITANDAO YA KIJAMII????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1992 nilipoanza kufuatilia mpira wakati wewe upo kwenye karanga badoUmeanza kufatilia mpira juzi
Unazungumzia mwaka 92, Mimi nimemwona Nico Njohole akicheza, Thuweni Ally, Kajole , Kiwelu Mussa kwa uchache.1992 nilipoanza kufuatilia mpira wakati wewe upo kwenye karanga bado
Nimemwona ni kufanyaje?Unazungumzia mwaka 92, Mimi nimemwona Nico Njohole akicheza, Thuweni Ally, Kajole , Kiwelu Mussa kwa uchache.
Peleka upuuzi huko. Mpuuzi wa hedi kaanzishe timu yako usajili Hao unaowataka.Mgunda si kocha
Simba haina wachezaji
Kama tulipata mchezo mgumu na Dynamos akiwepo unadhani nini kitabadilika wakati wa super cupIla Kama taarifa hizi ni za kweli hatutaki kumsikia huyu kocha anatupa vijisababu kuwa alikuwa anapangiwa wachezaji na viongozi.
Ila nafikiri sio sahihi kuachana naye Sasa maana tuna mchezo ngumu wa Africa super league.
Huyu kocha tokea mgunda aondoke kwny bench la ufundi amekua anapata matokeo kibahat bahat tu yaan kiufupi ananyota ya kushinda Ila sio kocha mzuri kwahiyo sisi wazaramo wenye simba yetu tokea utoton tunataka ASEPE zake
Smba imchukue Nabi aliyekalia kuti kavu huko aliko!View attachment 2769201
Habari zilizotufikia ni kuwa bodi ya klabu ya Simba imeridhia kuacha na kocha wake Mbrazil Roberto Oliveira 'Robertinho' kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wa timu tangu msimu huu kuanza licha ya kupewa asilimia kubwa ya wachezaji aliowahitaji.
Simba itatangaza uamuzi huo baada ya mechi dhidi ya Tanzania Prisons katika mwendelezo wa ligi kuu NBC Tanzania 🇹🇿
Juma Mgunda ataichukua timu kwa muda huku klabu ikiendelea kutafuta kocha wa kuja kuifundisha klabu hiyo na kumpa malengo yao.