The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 458
- 1,280
Huyu kocha tokea mgunda aondoke kwny bench la ufundi amekua anapata matokeo kibahat bahat tu yaan kiufupi ananyota ya kushinda Ila sio kocha mzuri kwahiyo sisi wazaramo wenye simba yetu tokea utoton tunataka ASEPE zakeWabongo bana, mtu unashinda kuanzia ngao ya hisani, mechi zote NBC na unafuzu makundi lakini bado Wanataka kukutupia virago, mnataka afanyaje? Mbona Mourinho kwenye mafanikio hakua na pira biriyani?

Wee jamaa😅Bora mgunda arudi 👏 na Inaabidi tujue yanga wanapataga wap makocha wao
Kaongea ukweliWee jamaa😅
mtafukuza makocha sanaView attachment 2769201
Habari zilizotufikia ni kuwa bodi ya klabu ya Simba imeridhia kuacha na kocha wake Mbrazil Roberto Oliveira 'Robertinho' kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wa timu tangu msimu huu kuanza licha ya kupewa asilimia kubwa ya wachezaji aliowahitaji.
Simba itatangaza uamuzi huo baada ya mechi dhidi ya Tanzania Prisons katika mwendelezo wa ligi kuu NBC Tanzania 🇹🇿
Juma Mgunda ataichukua timu kwa muda huku klabu ikiendelea kutafuta kocha wa kuja kuifundisha klabu hiyo na kumpa malengo yao.
Yanga watueleze na sisi twende kuchukua mmoja😅😅Kaongea ukweli
Unafuzu makundi kwa Mchezo upi ule wa jana wa hovyo kabisa hatumtaki tenaWabongo bana, mtu unashinda kuanzia ngao ya hisani, mechi zote NBC na unafuzu makundi lakini bado Wanataka kukutupia virago, mnataka afanyaje? Mbona Mourinho kwenye mafanikio hakua na pira biriyani?